Wakuu habarini za majukumu!
Ukiona mtu analia ujue kuna jambo. Naleta kwenu ombi la msaada ili nipate angalau unga wa kula ili familia yangu nayo isherehekee sikukuu ya idd kama familia zingine. Nilikuwa na kaakiba mwanangu akaugua ugonjwa wa nimonia , nimekatumia kaakiba kote, japo nashukuru mwanangu amepona ila nimebaki sina kitu. Naombeni msaada wenu
Naishi
Kunduchi
Dar es salaam
0765544791
Asanteni.