Mkuu AsantePole sana ndugu
Mkuu Unga Wa UgaliUnga wa aina gani mkuu??
Mkuu Mimi Naipata Jf Bure Kupitia Free basics Ya TigoYani umekosa buku ya kilo moja ya unga umepata bando
Mkuu KaribuMid nimependa hilo uneo unalotoka
Mkuu ni Eneo La Watu wote Matajiri Na Maskini Pia wapoKunduchi wanaishi matajiri wewe unawezaje kuishi huko
Wakuu habarini za majukumu!
Ukiona mtu analia ujue kuna jambo. Naleta kwenu ombi la msaada ili nipate angalau unga wa kula ili familia yangu nayo isherehekee sikukuu ya idd kama familia zingine. Nilikuwa na kaakiba mwanangu akaugua ugonjwa wa nimonia , nimekatumia kaakiba kote, japo nashukuru mwanangu amepona ila nimebaki sina kitu. Naombeni msaada wenu
Naishi
Kunduchi
Dar es salaam
0765544791
Asanteni.

Mkuu Sina Smartphone Ila Ni Itel Ndogo Tu Ila Ina Uwezo Wa Kufungua Opera Mini Kama Unaweza Kuinunua Basi Tuwasiliane Nijipatie Unga Kwaajiri Ya Familia YanguYakula watoto huna ila unayo ya Niuzie Smartphone
Mkuu Sina Smartphone Ila Ni Itel Ndogo Tu Ila Ina Uwezo Wa Kufungua Opera Mini Kama Unaweza Kuinunua Basi Tuwasiliane Nijipatie Unga Kwaajiri Ya Familia Yangu
Asante
Mkuu Nashukuru Kwa Hilounaonekana mnyenyekevu
Mkuu Nashukuru Sana, Toka Nianze Kuweka Matangazo Ya Viwanja Hapa Jf Sijawahi Pata Hata Sent, Hii Kazi Inawenyewe .Bora Niirudie Kazi Yangu Ya Kugonga Mawe Tu .Pole sana dalali hali imekuwa ngumu watu hatununui viwanja.
Huna connection na watu wanaonunua viwanja.Mkuu Nashukuru Sana, Toka Nianze Kuweka Matangazo Ya Viwanja Hapa Jf Sijawahi Pata Hata Sent, Hii Kazi Inawenyewe .Bora Niirudie Kazi Yangu Ya Kugonga Mawe Tu .