WanaJF mliochangia uzi wangu kuhusu Ujenzi wa Coco Beach, Rais Magufuli amekisikia kilio chenu kuhusu Sh. 14 Bilioni

Hivi hauelewi kabisa sababu za Makonda 'kusevu'?

Ni mambo mawili tu, la kwanza ni ule msingi imara aliojiwekea wa kuanzisha vita vya madawa ya kulevya.

Kisaikolojia Jpm anajizuia kufanya maamuzi kwa sasa, kwa sababu itaoneka matajiri wa unga na ma punda wameshinda vita.

Na Shavu la vita hivyo kwake litaendelea kumsetiri kwa kipindi kirefu mno.

Pili ni kwamba: Jpm anafahamu fika kwamba Makonda hahusiki kwa vyovyote na huo ufisadi wa ujenzi, viongozi wapigaji wanaochelewesha mambo kwa makusudi kwa ajili ya madili yao binafsi wanafahamika kwa majina.

Makonda angelikuwa kalambishwa chochote kwenye kashifa hiyo, angelifukuzwa bila samahani.

Kutajwatajwa huko ni kumtia tu presha ya usimamizi.

Na hapo upele umeota kwa mkunaji, kwanza juzi alifanya kikao cha utendaji na viongozi wote wa mkoa na usiku akaonekana Vingunguti anajenga!

Sasa tuone mambo yatakavyopelekwa!
Tusitabiri chochote, tusubiri kwanza.
Madawa ya kulevya kayaondoa? This is a joke. Yeye Bashite na mtandao wake ndiyo kabakia anayauza baada ya kuwadhibiti wenzie
 
Mh Rais kasema, wekeni vi-structure vya kawaida tu, mabench, pavements, nyavu za michezo kama za volleyball, beach futsal, etc etc
Kama hivi...Mh Makonda huitaji 14b/= kuyafanya haya!

c0pa9.jpg

wamachinga wataendelea na yao
c0pa8.jpg

Bar za kishkaji tu
c0pa7.jpg

Simple structures

cpa7.jpg

Miti kibao iiyokatwa ocean rd kutengeneza mabench
c0pa6.jpg


c0pa5.jpg

Tupewe nafasi tuonyeshe sanaa tunaovinjari coco

cpa4.jpg

Simplicity
c0pa3.jpg


c0pa1.jpg

benches
c0pa.jpg

Michezo

ULIGWA MH MAKONDA?!
 

Attachments

  • c0pa2.jpg
    c0pa2.jpg
    10.2 KB · Views: 17
Back
Top Bottom