Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Hivi umesoma content? kuna mahali nimesema nina mkataba na mwajiri? naomba wajibu walionielewa. usi misleadSheria inaruhusu kuvunja mkataba wa ajira kwa upande wowote ule,mashari ga kuvunja mkataba inategemea terms za contract zimekaaje, but kwa upande wa mwajiri procedure zabkusitisha ajira ni ndefu saana tofauti na mfanyakazi,
Mwajiri ndo kanipa mkuu.Mkuu huo mkopo umekopa Benki au mwajiri ndo kakukopesha?
wewe dada yangu mbona unanitukana ?.PUMBAVU ,UMEKOPA MWENYEWE SASA UNATAKA USHAURI WA NINI BASI ACHA HIZO KAZI
Kwa vyovyote vile kuwalipa haiwezi kukosekana kwenye terms of contract....Sheria inaruhusu kuvunja mkataba wa ajira kwa upande wowote ule,mashari ga kuvunja mkataba inategemea terms za contract zimekaaje, but kwa upande wa mwajiri procedure zabkusitisha ajira ni ndefu saana tofauti na mfanyakazi,
Nakushauri uendelee na uliko kopa ikiwa huwezi kulipa deni kwa sasa.m.Nimepata kazi sehemu 2:
- Zote ni kampuni changa
- Nina wiki 1 kwenye kampuni A na tayari nina mkopo wa nusu mshahara
- Kampuni B imetoa ofa ya mshahara mara 2 ya kampuni A
- Sina hela za kulipa mkopo wa kampuni A
- Kampuni B nimewaambia kuwa nilikuwa sijaajiriwa
- Bado sijajaza mkataba na kampuni A, na atakuwa adui kama akijua ninaondoka
NIFANYEJE?
Dah ungemuelekeza kistaarabu tu mkuuHivi umesoma content? kuna mahali nimesema nina mkataba na mwajiri? naomba wajibu walionielewa. usi mislead
Mkuu mkopo wa mwajiri ni issue ingekua ni wa benki ungehama nao kwenda kwa mwajiri B, huyu A atakua na kigezo cha kukugomea hadi umlioe hela yake, au kama kuna uwezekano fanya mpango upate hela ulipe huo mkopo then ndo uhame vinginvyo kampunii A itakua na kisingizio cha kukung'ang'ania ubaki.Mwajiri ndo kanipa mkuu.
wiki moja na mkopo juu duh ......too bad......tafuta helaya kuwalipa nenda B, pia uko probabtion au tayari umeanza rasmi...maana 1 week af mkopo hapo fafanua wengi ukiwa rasmi ndiounapata mkopo..Nimepata kazi sehemu 2:
- Zote ni kampuni changa
- Nina wiki 1 kwenye kampuni A na tayari nina mkopo wa nusu mshahara
- Kampuni B imetoa ofa ya mshahara mara 2 ya kampuni A
- Sina hela za kulipa mkopo wa kampuni A
- Kampuni B nimewaambia kuwa nilikuwa sijaajiriwa
- Bado sijajaza mkataba na kampuni A, na atakuwa adui kama akijua ninaondoka
NIFANYEJE?
we umeuliza mtu anajaribu kukujibu af unamjibu hivo...basi usingeulizaHivi umesoma content? kuna mahali nimesema nina mkataba na mwajiri? naomba wajibu walionielewa. usi mislead
Pacodecor mmemzika? Poleeni sana mmeondokewa na mtu muhimu katika chama chenuKama ni kweli mbona jibu liko wazi sana ama we unafanya kazi kwa kumridhisha mwajiri ama kwa kuangalia maslahi yako...Fanya kila uwezalo upate ela uwalipe hao A usepe na hata mkataba hauna nao mbona rahisi tu...
Sheria inaruhusu kuvunja mkataba wa ajira kwa upande wowote ule,mashari ga kuvunja mkataba inategemea terms za contract zimekaaje, but kwa upande wa mwajiri procedure zabkusitisha ajira ni ndefu saana tofauti na mfanyakazi,
Una zarau kwel wewe,, yan katumia mda wake kukueleza anachofaham afu unajidai unajua sheet" mbona ungemwelekeza tu""Hivi umesoma content? kuna mahali nimesema nina mkataba na mwajiri? naomba wajibu walionielewa. usi mislead