Pole kwa kuumwa sweetheart, kusafiri kunakutesa hivi kumbe...
Thank you sweetheartβ¦Pole kwa kuumwa sweetheart, kusafiri kunakutesa hivi kumbe...
Hospitali inakuhusu na hii hali ya hewa ni vichwa tu watu kuumwa...Thank you sweetheartβ¦
Yan sijui imekuaje sijawahi kuumwa hivi.. ila will be fine soon
Pasaka njema na kwako pia cha upole.. upole wako bado unaendelea kuonekana, safi sana.
Yeah umetulia sana tofauti na miaka kadhaa nyuma...Pasaka njema na kwako pia cha upole.. upole wako bado unaendelea kuonekana, safi sana.
Nimetulia eeh!! Mekuwa mtoto mzuriβ¦.. nastahili soda ππ
Karibu...Na kwako pia Kamanda π€£ π€£
Khaaaaπ€£ππππTulionana juz mbona wenzio...sema ilikuwa very boring walijaza sana wali kakabeji kiduchuuuπ