Ndg zangu! Huyu ndg kwa wenye kumbukumbu kama mimi namkumbuka alikuwa ni mtangazaji mzuri sn wa radio ya jirani ze2 Kenya ila kuna taarifa ya kwamba alikuwa ni Mwene2 mzawa wa hapa Tanzania,KWA WANAOMJUA VEMA WA2JUZE ALIPO HUYU NDG. Twendeni pamoja jama!

Dah! Namkumbuka sana KBC kupitia kipindi chake cha Je huu ni uungwana? Nakumbuka mabingwa wa salamu kama Surambili Kiango Momanyi. KBC walikuwa na kipindi kikijulikana kama "Salamu za majeshi" bado kipo waungwana? Sijaisikiliza KBC kwa miaka mingi.
DUUU mnanikumbushaaa mbaliii, nashanga enzi zile kulikua na radia bendi 2 ama 3 , (277) ya mbao inashika afrika mashariki yoote , siku hizi radio ukubwa wa umbo tu, lkn haishiki huko kote. :dance:
duuu mnanikumbushaaa mbaliii, nashanga enzi zile kulikua na radia bendi 2 ama 3 , (277) ya mbao inashika afrika mashariki yoote , siku hizi radio ukubwa wa umbo tu, lkn haishiki huko kote. :dance: