WanaJF enzi zao...

WanaJF enzi zao...

Maisha siku hz yamebadilika nguo za kulalia watu wanafanya mtoko, hata nguo za ndani siku hz zinavaliwa nje kama skinytit na vest
 
..........HUYU KWA SASA NI GAMBA ANDAMIZI!!!

blog-1-5.jpg
To be honest dogo mwenye miwani anafanana sana na Werema.....sijui Ndio yeye???
 
Hahahahaha. Lol!! Hii ingenipita!!
OLESAIDIMU ameniacha hoi na pozi lake.

Lmfao.
watu8 hacheki na mtu. hhahahahahahaahah
 
Last edited by a moderator:
Kaka Tyta hiyo picha umeitoa wapi asee hiyo sikukuu hapo watu wamekichanga ndio imepatikana ya kupigia picha!!!!!! Karucee hapo mapozi yote hayo mfukoni nehi!!!!!! Deo Corleone machungu ya dojo hayo yanakomaza nyago pushups sakafuni na kumwagia mchanga eti ili uwe na minakoz na kuvunja vifuu kwa mateke hahah maigel na yoko!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom