wanajeshi wa kike na maisha ya uraia

Katika hizo pictures ulizopost wengi ni Instagram models tu
 
ivi tofaut ya NAVY na MARINES ni nin? maana wengine naona us navy wengne us marine
 
Watu watabisha kwa sababu labda sio wachunguzi au wadadisi tuseme hebu ingia Instagram tafuta pages za Jeshi LA marekani kama Marines special forces , National guards utashangaa sana yaani unakuta ni Dada yupo fit in shape na Drill commander. Na ni wengi sana.

Nakumbuka mwaka juzi kama sio mwaka jana Miss USA alitoka Jeshini (National Guards/walinzi wa taifa). Just imagine.

Ingieni hata kwenye page za Waisrael (Israel Defense forces-IDF) zimejaa humo Instagram/Fb Wana page kuanzia za kikosi cha Navy, Ardhini, Jerusalem brigade, Air Force na wanapost almost everyday for public relations.

Sio kwamba mwanamke akiwa mzuri hafai Kuwa mwanajeshi hata hapa kwetu wapo tena visu balaa ni vile tu hapa kwetu hawaruhusiwi kujipost.

Kuweni wadadisi sio mitandaoni mna follow tu akina mwijaku na Carrymastori +Kimambi.

(Sijakusudia kumkosea mtu Adabu lakini, natanguliza samahani)
 
Muulize ommy D anavijua vzr

The Navy is a whole body of warship that maintains the freedom of the sea for the national interest. Marine is the group of troops that serves land, sea, and air providing support to both naval and ground forces. It is a special operation of force on the sea. It is amphibious and expeditionary.
 
Kuna wadau wanabisha kwamba hao sio masoja kisa tattoo haaaa
Visheria uchwara na marufuku utavikuta Kwenye majeshi migambo wa nchi za kiafrika tu Huko Dunia ya kwanza hakuna masheria ya kikoloni aiseeee Watu wapo na freedom hiyo inawapa morali ya kufanya Kazi na kuzipenda Toka moyoni sio huku hata kupost kapicha marufuku!

'Marufuku' nyingi za nchi zetu zinatuchelewesha Sana Aisee!
 
ivi tofaut ya NAVY na MARINES ni nin? maana wengine naona us navy wengne us marine
US Marine corps ni kikosi maalum kwa ajili ya mambo mengi tu na Wamarekani hujivunia sana hiki kikosi ndo wanalinda balozi karibu zote za Wamarekani, utawaona White house, hata zile helicopter Rais wao hutumia zimepewa majina hayo Marine 1/2.Kikosi kinatumika sana kwenye uvamizi (Assault), Rescue mission na mambo mengine mengi hiki hawa jamaa wanajivunia sana utaskia "Once a marine always a marine"

Navy ni kikosi cha wanamaji hapa tunazungumzia nyambizi zote, manowari, na Meli zote za kivita na hapa Wana command karibia dunia nzima kwenye international water wanazunguka sana Kuna Pacific command base yake ipo Hawaii. Hii ina cover Asia YOTE Japan, Korea (North & South), mpk China kama sijakosea. Mpk kwetu Africa base ipo nafikiri ni Djibouti kama sijakosea. Wataalam wataongezea.

Navy Seal special forces hii ni tofauti hawa ni kikosi maalum kwa kazi maalum wenye mafunzo ya Hali ya juu sana. Recruits wa hiki kikosi anaweza Kuwa raia lakini wengine hujiunga kutoka kwenye Vikosi vingine kama National Guards, Marines, Navy etc. Hawa Wana opperate kwa vikundi vidogo vidogo lkn wanaleta matokeo makubwa hutumwa nyuma kabisa ya mistari ya adui ili kuhujumu, kuokoa mateka,

Hawa wanauwezo wa kuvamia kutokea popote Majini, Ardhini, Angani na wakaleta matokeo chanya kwa nchi. Ingawa misheni zao zipo zilizo feli pia.
 
Navy S.E.A.Ls (SEa, Air and Land) a.k.a The Frog-men(jina wanalojipa baada ya kuhitimu mafunzo), Tadpoles(jina wanalopewa wale ambao bado wako mafunzoni).

Nay SEALs ni kikosi maalum cha jeshi la majini(Navy) na recruitment ni kipaumbele kwa wanamaji (Navy soldiers) wanaoweza fanya uingiliaji kutoka Baharini(sea), Angani(air) na nchi kavu(land) na ndo jina lao lilipopatikana hapo.

Yasemekana zipo Team 10, ila maarufu zaidi ni SEAL Team 6 (Official name; Navy Special Warfare Development Group (NSWDG), a.k.a DEVGRU), ambayo imegawanyika katika uniti ndogo ziitwazo "Squadron"(mfano; Gold squadron, Red Squadron), ambazo pia zimegawanyika katika uniti ndogo zaidi ziitwazo "Teams"(mfano; Alpha, Bravo, Charlie) ambapo kila team inaweza kuwa na wanakikosi("Operators") kati ya 6 mpaka 10, pamoja na wasaidizi(support structure/personnel) kwa kila "team". Team SIX wanachukua wanavikosi(operators) kutoka Team1, 2, 3, 4, 5, 7, 8, 9 na 10, wanawapeleka mafunzoni tena ndo wanachukuliwa na kupachikwa katika Squadron tofauti tofauti.

Pia Team SIX ipo chini ya United States Special Operations Command (USSOCOM) ambayo inadeal na vikosi vile vilivyonolewa na vikanoleka kweli kweli (mfano SEAL Team 6/DEVDRU, 75th Ranger Regiment, 1st Special Forces Operations Detachment-Delta(1st SFOD-D) a.k.a Delta force etc.)

Navy SEALs wengi wanatoka ndani ya Jeshi la majini(Navy), ni nadra sana kukuta Seal aliyetoka kikosi cha nje ya jeshi la majini.

TV series;
a)SIX
b)SEAL Team

Navy SEALs Motto: The Only Easy Day was Yesterday.

1st Special Forces Operations Detachment-Delta (1st SFOD-D)
a.k.a Delta Force/The Unit
Kikosi chenye siri zaidi katika vikosi maalum vya majeshi ya marekani.

Kikosi hiki ndio kina utaratibu wa kuchukua wanavikosi(operators) kutoka katika kikosi chochote kile katika majeshi ya marekani ambaye wanaona anafaa kuungwa na kikosi hicho.

Delta foce ndio kikosi kinasemekana kilichomuua gaidi Osama Bin Laden, kikiwa kimeundwa na wanavikosi kutoka vikosi maalum mbalimbali ndani ya jeshi la marekani kama team 6, marine raiders, 75th ranger regiment etc., wakibebwa katika "helicopter" maalum za kikosi maalum cha misheni maalum cha jeshi la anga kiitwacho "Night Stalkers'.

TV series;
a)The Unit

Movies:
a)Delta force (imechezwa na Chuck Norris)
b)13 Hours; Secret Soldiers of Benghazi (humu wanaonekana karibia n mwisho wa movie wakiwa wawili katika kwenda kusaidia uokoaji na ulizi wa balozi)

1st Special Forces Operations Detachment-Delta Motto (kwa usiri wao motto yao yasemekana kuwa ni) : Silent Professionals
 
Back
Top Bottom