mkuu mzizimkavu unamfahamu TANIA THE GUERILLA? jina lake kamili ni Tamara Bunke, ni askari wa kike pekee ambaye alikuwemo kwenye kikosi cha che guevara cha watu 50 kilichoenda Bolivia kwa lengo la kufanya mapinduzi mwaka 1965.
aliuawa mwaka 1967. inshallah nikijaliwa kupata mtoto wa kike basi nitamuita TANIA AU TAMARA in memory of comrade tamara bunke a.k.a. tania "the guerilla"