Wanajeshi wa huko Majuu

Kuna ulazima gani wa kumbeba mbwa? Kwani mbwa akitembea au kukimbia mwenyewe atamchelewesha huyo mwanajeshi? Na hao mbwa ni trained sio kwamba ukimwachia atakimbia hovyo.

Nahisi ni mazoezi ya kujiweka fit tu ila sio kwamba wanabeba hao mbwa wakienda kufanya tukio, ila wale US Marines yale mabegi yao mgongoni nasikia yana kilo si chini ya 50.
 
Ina maana mkuu unachoona kwenye mitandao unaamini moja kwa moja kuwa ni kweli? Photoshop ina nafasi kwako?
Kama sio photoshop basi kuna assignment fulani wanafanya, hapa lazima umekurupuka.
Wabongo bwana, waamini wanachokiweza tu, wasichokiweza hawakiamini kabisa, mara duka picha ooo wako kwenye mazoezi.
 
Kwa nini na wewe usiamini unachokiweza na usikiamini usichokiweza?
Hiyo picha ilitakiwa alipoitoa tena kwenye credible source ijitolee maelezo, sio unaweka picha alafu unataka twende na flow yako.
 
Hivi ww kilo hamsini unazijua kweli wewe
 
Ehh..!! Eti kilo 50??!!
 
Ehh..!! Eti kilo 50??!!
Ndio mkuu...

Soldiers and Marines in Iraq and Afghanistan routinely carry between 60 and 100 pounds of gear including body armor, weapons and batteries.

The heavy loads shouldered over months of duty contribute to the chronic pain suffered by soldiers like Spc. Joseph Chroniger, who deployed to Iraq in 2007.

Twenty-five years old, he has debilitating pain from a form of degenerative arthritis and bone spurs. "I mean my neck hurts every day. Every day," he says. "You can't concentrate on anything but that because it hurts that bad."

Like many soldiers and Marines, Chroniger shouldered 70 to 80 pounds of gear daily.

A 2001 Army Science Board study recommended that no soldier carry more than 50 pounds for any length of time.

"We were doing three, four, five missions a night sometimes," Chroniger says. "You're jumping out. You're running. I mean it hurts — it hurts."

Hivi ww kilo hamsini unazijua kweli wewe
Nazijua ningekushauri uwe unasomasoma badala ya kushangaa, ndio maana kwenye post yangu nikasema 'nasikia'

Soldiers and Marines in Iraq and Afghanistan routinely carry between 60 and 100 pounds of gear including body armor, weapons and batteries.

The heavy loads shouldered over months of duty contribute to the chronic pain suffered by soldiers like Spc. Joseph Chroniger, who deployed to Iraq in 2007.

Twenty-five years old, he has debilitating pain from a form of degenerative arthritis and bone spurs. "I mean my neck hurts every day. Every day," he says. "You can't concentrate on anything but that because it hurts that bad."

Like many soldiers and Marines, Chroniger shouldered 70 to 80 pounds of gear daily.

A 2001 Army Science Board study recommended that no soldier carry more than 50 pounds for any length of time.

"We were doing three, four, five missions a night sometimes," Chroniger says. "You're jumping out. You're running. I mean it hurts — it hurts."

Wale wa kutetea haki za wanyama wako wp
Haha kwanini unauliza hivyo mkuu ?? Hao mbwa wana mafunzo kabisa ya juu ya uvumilivu hivyo hapo wenyewe wanaenjoy kama wako kwenye elevator tu
 
sisi tunao wa kupasua tofali kwa kichwa ( cement to sand mix 1: 50 )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…