Wanajeshi sita wa Uturuki wauawa na wengine sita kujeruhiwa vibaya

US watapata access ya kuimarisha huu mgogoro wa Syria sasa mana Edo lazima atatibuana na Putin, na kujikomba komba kwa mawigi iliampe support.

Nadhani EDo hatakubali kushindwa kwenye hii vita kirahisi mana vita hii huenda ikavuruga na utulivu wa Turkey pia.

Ningepata nafasi yakumshauri Edo ningemwambia akae mbali na US.

Akumbuke yale mapinduzi yaliyo feli yanaweza kuja kupata mwanya badae vita ikikolea.

US wamesha mjua EDo ni ndumikakuwili wakipata nafasi watamuondoa tu wamuweke mtuwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Syria haiwezi Tena kuwa huru mkuu, soma Biblia Takatifu ,Isaya 17:1

Sent using Jamii Forums mobile app

Adjustments.JPG
 
Back
Top Bottom