Wanajeshi sita wa Uturuki wauawa na wengine sita kujeruhiwa vibaya

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
8,638
16,566
Vikosi vya Syria vimewauwa wanajeshi 6 wa Uturuki Mapema hii leo na kuwajeruhi Vibaya sana huku Uturuki ikijibu kwa kuyalenga maeneo mbali mbali yanayokaliwa na Vikosi vya Syria.

Screenshot_20200210_145804_com.rt.mobile.english.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1353922
View attachment 1353923
View attachment 1353925
View attachment 1353927
Hiki Ni kipigo kingine baada ya hicho juu,hii Ni convoy ya Turkey Al nusra imepigwa jioni hii,Syria hawapendi ujinga
Edogan hatalala usingizi, sijui nani anamshawishi.

Hapo unaweza ukakuta Russia ana mtungua kimyakimya alafu anajifanya kama haoni.

Na hiivita itakuwa mwiba kwa edo akishindwa na kazi hana, waturuki watamgeuzia kibao.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uturuki akitaka hii vita iwe nyepesi kwake basi hahakikishe anampokonga Mrusi Anga ya Syria ili aweze kurusha ndege zake,bila kufanya ivyo itakuwa ngumu kupigana na Assad.

Ukiangalia kwa jinsi convoy ilivyoshambulia utajua kabisa hii ndege iliyoshambulia sio ndege ya kawaida kabisa.Assad ndege zake hazina uwezo wa kulenga shabaha kiasi icho kama sio SU-34 basi itakuwa SU-35 za Mrusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uturuki akitaka hii vita iwe nyepesi kwake basi hahakikishe anampokonga Mrusi Anga ya Syria ili aweze kurusha ndege zake,bila kufanya ivyo itakuwa ngumu kupigana na Assad.ukiangalia kwa jinsi convoy ilivyoshambulia utajua kabisa hii ndege iliyoshambulia sio ndege ya kawaida kabisa.Assad ndege zake hazina uwezo wa kulenga shabaha kiasi icho kama sio SU-34 basi itakuwa SU-35 za Mrusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo shambulizi so la ndege Hio

ni artillery fire.. multiple short and target

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom