mm siwapendi polisi kutokana na dhuluma wanazofanyia raia daily. wapigwe tu. watz inabidi tuhoji majukumu ya polisi hapa nchini. majambaz wanaua raia daily lakn polisi wanahangaika na daladala na bodaboda mtaani tu kulazimisha rushwa
Wanajeshi wetu hawana nidhamu kabisa. Wamekuwa kama miungu kwani kila mara wakipiga raia au polisi hawachukuliwi hatua. Wao wanajiona wako juu ya sheriaVURUGU MARA: Wanajeshi 6 JWTZ jioni hii wavamia kituo cha polisi cha Tarime na kuwapiga polisi baada ya mwenzao kukamatwa, RPC Lazaro Mambosasa athibitisha.
Dah police hawapendwi kweli,hata kama ukweli ni kwamba wanajeshi ndo wamepigwa watu wataripot tofauti ili ionekane police ndo wamepigwa.Mfano kule Arusha wanajeshi waliminywa sana but waandishi wa habari wakaripot tofaut,the same to this one
nimefurahi sana hao mbwa kupokea kipigo maana wanatunyanyasa sana hasa tunapokuwa na pikipiki zetu hapa tarime.kwanza wao si trafiki lakini wanaingilia tu.mimi binafsi walishanikamata kama mara3 hivi bila hatia yoyote.wanakilimbikizia makosa hata ambayo huna.na ili wakuachie lazima utoe pesa si chini ya 50000.nawapa big up wajeda kwa kuwatembezea kipigo mbwa hawa.na ninawaomba muendelee na kipigo hiki hata mnapowakuta wakiwanyanyasa raia wema si lazima wanapoingia kwenye anga zenu tu.viva wajeda
Wanajeshi wetu hawana nidhamu kabisa. Wamekuwa kama miungu kwani kila mara wakipiga raia au polisi hawachukuliwi hatua. Wao wanajiona wako juu ya sheria
Sio kweli kabisa ....... Polisi wanawaza kwa kutumia masaburi.... Jeshi la wananchi ni kweli la wanachi wana upendo sana kwa raia tena wamejaa weredi. Tatizo kubwa la polisi njaa zinawasumbua na wengi ni watoto wa mashemeji na ndani mwao hakuna hali ya kuwatumikia watanzania bali matumbo yao....... Wacha wapigwe......
We unaonekana ni mtu wa makamo ya kutosha tu, lakini akili zako sawa na za nyumbu. Kwani unapozungumzia majukumu ya polisi, swala la kusimamia daladala na bodaboda wanaovunja watu miguu kila siku sio jukumu lao? Ukiwa shabiki wa mbowe akili zinaporomoka kabisa.
Idara pekee iliyobaki nchini kwetu ambayo haijaoza na rushwa ni Jeshi peke yake. (hasa huku chini) Naomba raisi ajae atumie jeshi walau kidogo tu kurushisha nidhamu, uwajibikaji na uchapa kazi Tanzania!
Kuhusu kuwapiga polisi...
We unaonekana ni mtu wa makamo ya kutosha tu, lakini akili zako sawa na za nyumbu. Kwani unapozungumzia majukumu ya polisi, swala la kusimamia daladala na bodaboda wanaovunja watu miguu kila siku sio jukumu lao? Ukiwa shabiki wa mbowe akili zinaporomoka kabisa.
Mmmmh.mie napta2
Hivi neno JESHI au MWANAJESHI lina maana ya askari wa JWTZ? Kwani Police sio JESHI?
Unaposema JESHI watoa kipigo kwa Polisi kwani POLISI sio JESHI? Ufafanuzi plz