Wanajeshi, polisi watwangana risasi


...asante kwa taarifa...!
"hii yote inatokea ni kwa sababu ya SERIKALI yenye uongozi DHAIFU"
 
una akili wewe?au ndiyo unaleta siasa hadi kwenye huu uzi unajua umuhimu wa jeshi la polisi nchini!?hiv unajua kuwa utulivu ambao tunao ndani ya nchi ni kazi ya polisi?au wewe ni ukawa!?

...nadhani umejitwisha tikiti maji na hamna ubongo...
 

Habari yako umeiandika kiushabikishabiki! Yaani full biasness. Ukawa mna tabu na polisi wa bongo.
 
Wanajuana hawa wafunga buti kila leo wanagombana wenyewe tu ..sisikii magereza amegombana na mmoja kati yao. Askari wa magereza wana adabu saana ukilinganisha na JWTZ na Polisi.

Kigoma pale kambi ya magereza na polisi wapo jirani kabsaa ila hata siku moja hawajawahi kupigana ila polisi na jwtz wako mbalimbali ila ndo wa kwanza kupigana makonde. Hawana adabu hawa!!
 
Nchi inapoelekea ni kubaya kama vyombo vya dola vinafanya hivyo raia je watafanyaje
 
Wapigane tu..vita ikianza bas ndo mwsho wetu kama wenzetu wanavyo malizwa na ebola. God bless us
 
vipi tena huko mkoa wa mashujaa?? tupeni updates wamekufa wangapi? au wanajeshi nao walikuwa wanaandamana?
 
Watanzania tuna matatizo ya hakili au cjui nisema Africa au ngozi nyeusi , kua jeshi sio maanake uvunje sheria. Wanajeshi Hawa Jwtz wanadhani kua wanaweza kuishi bila kuguswa na sheria ata kidogo huu ni umbumbumbu kabisa!
 
yaaan hapo ni patam mura!!
rahia wenyewe panga mkonon
 
Kweli jeshi wanapashwa watie timu domu ili warekebisho awa manduku wanaoochakachua katiba
 

Afu mkuu nackia kichapo cha maaskar magereza especially wale kitengo cha kutuliza fujo kwa wafungwa wanatoaga "mfwen" wa kufa mtu!hahah
 
acheni ushabiki wa kitoto
HIVI WAVUNJE SHERIA WASIGUSWE???????
hata kama polisi ni wabaya lakini wana haki ya kusimamia usalama wa raia wote bila kujali chochote

hii ilitokea Arusha ila walishikishwa adabu na FFU kuwa mjeda haimaanishi uishi utakavyo
nawashangaa sana mnaoshabikia
kwa lugha nyingine huyo mjeda AKIBAKA MWANAO ASIGUSWE???maana hili nalo kosa
 
Safi sana JWTZ. Dunda sana hayo mapolisi. Yamepoteza heshima kwa raia. Mengi yao hayana akili na wamefoji vyeti vya form 4 wapate ajira. Kitakachofuata ni raia kushirikiana na JWTZ kuwapa kichapo polisi hadharani.
 
"Ukifanya fujo, umeambiwa usifanye hiki, ukakaidi.... Utapigwa tu. Maana hakuna namna nyingine.... Maana lazima tukubaliane kuwa nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya kisheria.... Sasa km wewe umekaidi hutaki, unaona kwamba wewe ndo imara zaidi.... Ni jeuri zaidi.. Watakupiga tu na mimi nasema muwapige tu kwasababu hakuna namna nyingine... Ehhhhh maana tumechoka sisi...., ehh!!!"

By Kayanza Pinda a.k.a Baba Tunu, The Prime Minister.

Mwosha huoshwa.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…