Mbona mapema sanaTayari magari ya kurusha maji washa washa kimara yameshawasili hii ni woga tuu ya waandamanaji kesho
Poleni sana askari wetu kwa kufaidisha mbu usiku wa leo😁
Hawataki Leo mkeshe kanisani dah!Mbona mapema sana
Tutajaribu kwenda mkesha leo tuone.Hawataki Leo mkeshe kanisani dah!
Sawa tutajitahidi, ila hili swala la kupanga maandamano siku za ibada halifai hata kidogo.Kuwa makini
Kila la kheriTutajaribu kwenda mkesha leo tuone.
Tutawatuma boda boda watuchekie kwanza kama kuna usalama 😅😅😅Kila la kheri
Umenikumbusha jinsi nilivyokimbiza pikipiki Leo maeneo ya darajani pale nimeona ffu nikaona kifo hichi hapa kimbiza pikipiki shwaaaTutawatuma boda boda watuchekie kwanza kama kuna usalama 😅😅😅
Washaanza kufanya miyeyusho nimeona hata Leo darajani ffu zinapiga doriaNilienda mbezi stendi ya magufuli kumpokea mgeni wangu kama masaa matatu hivi yaliyopita. Nimeona roli limejaza wajeda kwenye tela na gari fulani hivi kubwa kama kifaru
Mipaka wamemuachia nani huko kipakani mpk walete foleni mjini?Ulinzi ukiwepo mnalalamika usipokuweo mnalalamika
Waswahili sisi hatuna jema