Wanajeshi hawa kweli ndo hivi?

Chezea jeshi wewe huku ni kifaru tuu aliweza kuhimili mziki wake mbwa na farasi walikimbilia !....... hapa sisemi ila wanaojua wameelewa!!![emoji86] [emoji86] [emoji3] [emoji3]
 
Chezea jeshi wewe huku ni kifaru tuu aliweza kuhimili mziki wake mbwa na farasi walikimbilia !....... hapa sisemi ila wanaojua wameelewa!!![emoji86] [emoji86] [emoji3] [emoji3]
Hahahaaaa...hapa tutajua tu nani ni mwanajeshi....
 
Kama zile ndege zilizobugudhi watu katika jiji la Dar kwa siku mbili mfululizo ni zenu, futa hiyo namba 2, 5, 6 na 8. Kwa sababu mtu yeyote mwenye sifa hizo ulizoweka hapo, angetambua kuwa katika mji mkubwa kama Dar unaokadiriwa kuwa na wakazi kama milioni tano, kuna watoto wachanga wengi, vikongwe na watu wenye matatizo ya kiafya au wagonjwa ambao siyo utu kuwapigia makelele ya vile!
 
Unaleta UKUTA mpaka huku?....jinga weeee.
 
Wow! Wanajeshi nawapenda jamani, na hizo sifa zote wanazo ndio mana nawapenda zaidi,
Yani ukiwa na mwanajeshi wahisi kabisa ni Malkia wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…