Wanajeshi 66 wauawa Sudan Kusini


E

engmtolera

Verified Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
5,117
Likes
91
Points
145
E

engmtolera

Verified Member
Joined Oct 21, 2010
5,117 91 145
Afisaa mkuu msimamizi wa hospitali ya kijeshi ya Juba, Brigedia Gen Dr Ajak Bullen,ameambia shirika la redio la Miraya mjini Juba kuwa wanajeshi 66 wameuawa katika mapigano ya siku mbili.Watafanyiwa mazishi ya pamoja.Wakati huohuo afisaa mmoja wa serikali amesema kuwa watu 26 wameuawa katika mapigano ya siku mbili mjini Juba.Zaidi ya watu miamoja wamejeruhiwa huku maafisa wakuu wakijaribu kudhibiti mji huo kufuatia kile ambacho serikali ilisema ni jaribio la mapinduzi mbalo liliweza kutibuliwa.Waziri wa mambo ya nje wa Sudan Kusini Barnaba Marial Benjamin amesema kuwa vikosi vya usalama vinawasaka wanajeshi watiifu kwa Riek Machar aliyekuwa makamu wa Rais wa Salva Kiir anayedaiwa kupanga njama hiyo ya mapinduzi.Taarifa zinasema kuwa milio ya risasi ingali inasikika mjini Juba.Wanajeshi 66 wauawa Sudan Kusini - BBC Swahili - Habari
 
T

Truth guy.

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Messages
401
Likes
44
Points
0
Age
39
T

Truth guy.

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2013
401 44 0
Chanzo cha uhakika kutoka juba kinasema kuwa,kulikuwa na njama siku nyingi za kumpindua rais salva kir zikiongozwa na makamu wake,ndipo kir akapata intelligence information na kuamua kumtoa makamu wake madarakani,ndipo makamu wake aka organize na baadhi ya wanajeshi walio loyal kwake ili kujaribu kuchukua madaraka,huo ndo mwanzo wa mauaji south sudan.
 
ITEGAMATWI

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
4,518
Likes
1,412
Points
280
ITEGAMATWI

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
4,518 1,412 280
Duh! Ndiyo hii nchi mnaikaribisha EAC?
 
M

mahakama ya kazi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Messages
1,476
Likes
33
Points
145
Age
35
M

mahakama ya kazi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2013
1,476 33 145
hii nchi wanaanza kuiharibu
 
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2008
Messages
13,598
Likes
526
Points
280
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined May 11, 2008
13,598 526 280
Dah, hawa jamaa badala ya kujenga nchi wanaleta mambo ya Chadema!!!
 

Forum statistics

Threads 1,251,560
Members 481,767
Posts 29,776,114