Wanajeshi 13 wa Marekani wauawa katika shambulio Kabul

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais Joe Biden amesema Marekani itaendelea kuwaondoa watu Kabul licha ya shambulio lililosababisha vifo vya Wanajeshi hao. Kwa mujibu wa Kituo cha Al Jazeera, Raia wapatao 72 wamepoteza maisha.

Ameahidi kulipiza kisasi kufuatia kitendo hicho hawatosahau wala kusamehe na wahusika watasakwa. Licha ya kutolewa tahadhari ya kutokea shambulio, idadi kubwa ya watu walikusanyika eneonla Uwanja wa Ndege wa Kabul wakitumaini kuruhusiwa kupanda Ndege.

Hadi sasa zaidi ya watu 100,000 wameshaondolewa Kabul wakiwemo 66,000 kutoka Marekani.
===

At least 72 civilians have been killed in the two explosions outside Kabul airport, a hospital source and a Taliban official in the Afghan capital say.

At least 13 US soldiers were also killed in Thursday’s blasts, the worst single-day loss for American troops in Afghanistan since the August 2011 attack on a Chinook helicopter that killed 30 service members.

The US troops helping to evacuate Afghans desperate to flee Taliban rule are bracing for more attacks.

Thursday’s attack was claimed by ISIL (ISIS) offshoot in Afghanistan, The Islamic State in Khorasan Province, ISKP (ISIS-K), which said its suicide bombers singled out “translators and collaborators with the American army”.

US President Joe Biden pledged to retaliate against the attack in Kabul, confirming that the bombings were carried out by ISIS-K. “We will hunt you down and make you pay. I will defend our interests in our people with every measure at my command,” he said.

Source: Al Jazeera
 
MK. 11:25-26 Nanyi, kila msimamapo na kusali, sameheni, mkiwa na neno juu ya mtu; ili na Baba yenu aliye mbinguni awasamehe na ninyi makosa yenu. Lakini kama ninyi hamsamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.
 
Wamarekani ni weupe tu. Yaani hawa jamaa marekani siku wajidanganye kupigana vita na iran aisee watapigika vibaya mno. Muda mfupi ujao watalipuliwa wengine
ww sema weupe!
Shukuru sana Wamarekani wana Subra!
Hivi wakitaka afghanistan igeuke vumbi nani Atawazuia??
Hivi wakii-Nuke au kuichoma na Neutron Bomb ambalo linaua kila kiumbe Hai na kubakiza Man made things huioni hiyo Picha?!
Ujue Hawakutengeneza Silaha za mauaji ya halaiki kama mapambo ati!
 
taliban hawa taki watu wao kuondoka.subiri marekani waondoke.kuja kufika 2022 afghan itakuwa ndio inaongoza kuwa na wakimbizi wengi waliokimbia nchi yao.kuzidi historia ya kipindi cha NAZI
Mchezo wa marekani tu bado anataka mali za wa afghan kwanza taleban walivyorudi kirahisi mno kuna watu nyuma yao tena hao hao marekan wanasapot mchongo ninavyohisi mimi
 
Mchezo wa marekani tu bado anataka mali za wa afghan kwanza taleban walivyorudi kirahisi mno kuna watu nyuma yao tena hao hao marekan wanasapot mchongo ninavyohisi mimi
Hawasapoti mkuu mchongo wowote. Trump yule alikuwa Rais bana. Alinegoshieti na Taliban na Qatar alikuwa mediator ndo maana umewaona Taliban wamekuwa wapole. Pia Marekani mjanja ameona anapoteza hela nyingi hii vita na iraq. Kwa siku dollars billion 10 ilikuwa inatumika hicho sio kiasi kidogo. Sasa anasevu.
 
Hawasapori mkuu mchongo wowote. Trump yule alikuwa Rais bana. Alinegoshieti na Taliban na Qatar alikuwa mediator ndo maana umewaona Taliban wamekuwa wapile. Pia Marekani mjanja ameona anapoteza hela nyingi hii vita na iraq. Kwa siku dollars billion 10 ilikuwa inatumika hicho sio kiasi kidogo. Sasa anasevu.
Nimekupata mkuu
 
Walifata nini kwenye nchi ya watu jamani
kwa kweli ukiangalia saaana, hawa jamaa walifuata nini huko,?........nchi maelfu ya kilometer mbali na nyinyi, mwenda jikita na kufanya kwenu.....!(Mwana kulitafuta, Mwana kulipata)

Imefika wakati sasa, Dollar la Marekani kuacha watu waishi kivyao, kama wenyewe wataka kufuga madevu na kuvaa mapyjamas shauri yao, inafika hatua mpaka unauliza wananchi nani ataka kuhamia America????
 
ww sema weupe!
Shukuru sana Wamarekani wana Subra!
Hivi wakitaka afghanistan igeuke vumbi nani Atawazuia??
Hivi wakii-Nuke au kuichoma na Neutron Bomb ambalo linaua kila kiumbe Hai na kubakiza Man made things huioni hiyo Picha?!
Ujue Hawakutengeneza Silaha za mauaji ya halaiki kama mapambo ati!
wafanye basi kama wanawez hivi unawajua waafghani ama siku usiombe jamaa waanze kufanya operation nje ya taifa lao
 
Mkuu unashabikia upuuzi. Waliokufa wengi ni wa Afghanistan. Sasa wanaondoka utaona sasa uchinjaji wa aina yake kati ya wataleban na ISIS na hatuombei hilo. Halafu hao ISIS si wote ni waafghnistan kwa nini huuwaambii nao waondoke?
Mkuu na wewe naona umeandika upuuzi pia,
Hivi kuwaachia watu inchi yao waendeshe
Vile wanataka kuna kosa gani?
Mbona mishoga huko inaruhusiwa kufanya vile wanataka wala haipingwi?
Tafakari chukua tahadhari
 
Back
Top Bottom