Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,387
Si wangeanzia jeshi la polisi
Utumishi walianza na mpolisi unaambiwa karibi polisi 400 wamekimbia kazu.Hakuna lolote acha kutisha watu,toka wameanza kusema hivyo kuna ukaguzi wowote umefanyika?
Walimu wengi wa shule za msingi,polisi,manesi ndio wanaongoza kwa kufoji au kutumia vyeti sio zao,unadhani serikali haijui?
mbona ulikuwa unahanyaNiko Vizuri kijana. Cheti changu hakina swali.
Naona hapo birth imem confuse.dirth=death
hakuna chochote! wanawatisha eti wajisalimishe,hata ningekuwa mimi nisingejisalimisha.ina mana kama una cheti feki cha kidato cha nne na umekitumia hadi umepata shahada,elimu yako wewe ni ileile form 4 failure?
Hapo hukamatwi jombaa
Atakufa mjinga sasa kama cheti cha kuzaliwa ni kingine na cha shule ni kingine... Wengi waliozaliwa vijijin miaka ya 60 hadi 89s sidhani kama walikuwa wanapewa vyeti vya kuzAliwaWakilinganisha na cheti cha kuzaliwa wanaweza mkamata, ama labda atumie cheti cha kuzaliwa cha huyo marehemu
Atakufa mjinga sasa kama cheti cha kuzaliwa ni kingine na cha shule ni kingine... Wengi waliozaliwa vijijin miaka ya 60 hadi 89s sidhani kama walikuwa wanapewa vyeti vya kuzAliwa
Kweli hata sisi nyumban kwetu tuna death certificates za wazazi wetu, zinatusaidia ktk kufatilia mirathiVipo dirth certificate subiri yakufike utakitafuta tu, majuzi kati najaza fomu ya mtoto ya mkopo HESLB kama mzazi amefariki ujaze namba ya dirth cert.
Umekwepa Kodi kwa muda gani?Nasikia kuharisha, nimekwisha, sijui nikajifiche wapi
Mkuu watakushughulikia tu...Mimi nina cheti cha form cha mtu mwingine lkn cheti hicho sio feki na nikakitumia kusomea certificate sasa nimeajiriwa serikali je wataweza kunibaini?Mwenye cheti hicho alishakufa na hakuwaikuajiriwa serikalini
Ormunada katika ubora wake....BTW Umekumbukwa na JPM katika teuzi zake maana ghafla umeasi mabadiliko...unaweza kutakiwa kujibu kesi ya mauaji amabayo ni ngumu zaidi ya kufoji cheti hupo salama kabisa