Daddo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,435
- 1,022
Habari zenu wanajf. Waswahili wanasema penye wengi hapaharibiki jambo.
Naomba mwenye kujua hatua za kuchukua pale kadi ya mpiga kura inapoharibika.
Kadi yangu nilikuwa nimeiweka kwenye wallet. Kwa muda mrefu sijawahi kuitoa na kuikagua. Jana katika kukagua usalama vitu vyangu nikagundua kwamba kadi hiyo imevunjika katikati.
Naomba anayefahamu wapi naweza nikaenda wanitengenezee nyingine au nini cha kufanya anielekeze.
Naishi Kigamboni jiji la Makonda hili.
Natanguliza shukrani na samahani kwa usumbufu.