wanajamvi msaada mawazo yenu..

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,401
nimepigiwa na rafiki yangu simu akihitaji msaada wa kuregister campany bongo..anaweza kufanya namna gani..akiwa ughaibuni.ukweli mie sijui hata moja...
 
N-way, mwambie awasiliane na watu wa BRELA. Watamsaidia kwa haraka sana as long as he/she ready ''kuonyesha ushirikiano''!
 
wewe uwe partner wake, halafu register on his behalf.....ila mkichakachua tutawadiscuss kama tunavyodiscuss mafisadi wengine humu jamvini. Ila usiwe na wasi kwani maneno matupu hayavunji mfupa, na hapa bongo sisi ni watu wa maneno tu. we ukichakachua, unaondoka na hela zako, si tunakudiscuss kwa wiki mbili, halafu matokeo ya form four yakitoka tunakupotezea tunaanza kulalamika walimu wachache.
 
chifunanga mbona unanifurahisha sana?.....hahahahaha:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
brela ipo online atapata more details lakini utekelezaji utahitajika wewe umsaidie kwa mahitaji yanayotakiwa physically hapo Brela.
 
Back
Top Bottom