Wanaingia Ulaya kwa nguvu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Wakimbizi wakiingia Bara la Ulaya!

Refugees-Migrants-EU-Europe-Croatia-Slovenia-migrant-crisis-2134-Getty-640x480.jpg



Migrants-Crowds-Cross-Into-Slovenia-Getty-640x480.jpe


mideast-iraq-syrian-refugees.jpg



fc568666a81577a19777c450a20e9143




648x365xrtx1gj8j-e1436197887697-1024x576.jpg.pagespeed.ic.vP97JGxObX.jpg




63d185c8a8f5bc7eb1d04a0e7caff42a
 
Hao watu ni janga ambalo, kwa ulaya lazima lita wacost wana siasa waliopo madarakani, na lita amsha hisia za chuki, kwa kuwa hawa jamaa wakifika sehem wana wabadilisha ninyi wao hawabadiliki. Pia wakifika visa na mikasa huwa haiishi.
 
Wazungu acha wapate mrejesho wa kile wao walikitafuta.Siwapendi sana watu hao!Wao hutaka kutatua jambo bila kutambua asalizo.Shauli yako.
 
Sayansi haidanganyi, hiyo ni reaction ya actions of discrimination of human rights!
 
Ni kiashiria cha dalili za kuporomoka kwa mataifa ya ulaya na Marekani na China kutake over kama new world super power.....
Ni ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia lakini hili jambo lipo njiani kuja......

Mwenye macho na atazame na sio kuangalia.....
 
Safi sana wakifika huko wazaane kwa fujo wawe wengi waanze kuwashughulikia wazungu mpaka na wenyewe wawe wakimbizi kwenye nchi zao
 
Wewe kweli POYOYO ! na wale wa magharibi wanaiongia Middle East kwa mitutu na kuua wananchi wasio na hatia! kuwabomolea miundo mbinu yano! kuwaua ma Rais wao shupavu kama Ghadafi, Saddam Hussein na wengine na sasa hivi wanamuwinda BAshar Al Asad ! huwaoni ???

Acha kufikiri kwa Nywele kabla ya hapo hao unaowaita leo wahamiaji haramu walikuwa wakiishi vipi kabla ya kuvamiwa na hao maharamia!

Akili zako nna wasiwasi nazo! inaelekea unafikiria umbali wa Cm chache sana kutoka kwenye macho yako!
 
Hao watu ni janga ambalo, kwa ulaya lazima lita wacost wana siasa waliopo madarakani, na lita amsha hisia za chuki, kwa kuwa hawa jamaa wakifika sehem wana wabadilisha ninyi wao hawabadiliki. Pia wakifika visa na mikasa huwa haiishi.
warudi tu kwao besides kufikia 2050 95% ya europe population itakuwa islam
 
Back
Top Bottom