Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

Valah dohaeris
..
Mwamba hakuamini macho yake
View attachment 2972172
Lord Bares hapa karata zake hazikufanya kazi kwa the Starks ila jamaa alitaka kuitawala North kwa ulaghai sema ni Ile kusema huwezi tumia same method kucheza na akili za watu.
Kwa Bahati mbaya Sansa alikuwa ana rekodi Kila kitu alichokuwa akifanya hivyo alimjua vizuri ila Arya ye hakuhitaji mda mwingi kumjua as Alisha deal na yule jamaa faceless man (hagar)
 
When people ask you about this
Tell them "the north remembers and winter came for house Frey"
Nilitamani Cercei atoroke na Jaime wasifie mule ndani
Na Dragon Queen achukue Seven kingdom huku John akibaki na North ila namna iliisha jamaa aliamua mwenyewe
 
Wajapan wanakuaga na vitu vizuri sana
Kichwani mwangu nishajiambia muvi yoyote kutoka japan juo iko bomba. Hata story nyingi za muvi z wazungu hua wanawaiga au kuchukua stori za wajapan.
Anime zao mara nyingi hua ni kali sana hasa upande wa stori.
Eg.. Ukiangalia Attack on titan hutatamani iishe... Very interesting
 
Japan anime sijakutana na mbovu hata moja
 
Kitu pekee nilihisi ni kuwa Sansa ni nI mfano wa Malkia Victoria ukisoma vizuri historia yake na the whole Game of throne utaona imekalia hapo
 
Ser Bronn of Blackwater, Master of Coin, lord of HighGarden, Warden of South.
 
Kutazama mara mia ni uongo?
Huna kazi??
Haina hata miezi mi5 wewe mara mia???
Aaah wapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…