Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

Nilisoma comment moja wanasema Shogun ni GOT yenye Ned stark aliye smart 😂kwamba Toranaga ni smart sana...

GOT ni GOT tuu hata characters wake ni 🔥 nimecheki kazi waliyoifanya kwenye 3 body problem yule smugglers (Ser nani sijui alikuwa yupo kwa Stannis) unaona kabisa jamaa wana uwezo mkubwa
 
Haijaifikia GOT hata Kidogo.

GOT ni habari nyingine mpaka Sasa bado sijaona series inayoifikia GOT.
1. Character development yake ni level nyingine.

2. Very unpredictable
Character unayemkubali sana unashtukia kaliwa kichwa shwaaaa.

3. Ile scene Arya stark anaua Men of House Frey.
Pia Pale Littefinger alivyojikuta yeye ndio anatakiwa ajibie mashtaka ya Sansa na analiwa kichwa shwaaaa.


Valar Morghulis - All Men Must Die
 
Kweli Kabisa.

Naona hata 3 Body Problem ni Kali kuliko Shogun
 
Mimi sio mpenzi wa movie hasahasa za huzuni nina machozi ya karibu
Ila horror movies kidogo naweza kuangalia
Haihuzunishi wala. Sema utajifunza jinsi wanawake wa japan walivyo obedient and loyal to their men. Heshima kama zote afu wanaume(Samurai) wapo tayari kufa muda wowote kwa ajili ya boss wao (liege Lord)
 
Valar dohaeris😂
 
Haihuzunishi wala. Sema utajifunza jinsi wanawake wa japan walivyo obedient and loyal to their men. Heshima kama zote afu wanaume(Samurai) wapo tayari kufa muda wowote kwa ajili ya boss wao (liege Lord)
Nikipata nafasi nitaweza kuiangalia
 
Valah dohaeris
..
Mwamba hakuamini macho yake
 
Yah one of the best iko season 7 kama sikosei nakumbuka sana
Ndio mahali Kingslayer alijua kuwa Tyrion hakumuua Jofrey na ndio mahali alijua hawawezi kupigana na Dragon queen
 
Ser Davos the best smuggler alive in the world (Tyrion) sema jamaa alikuwa mtu mmoja mwaminifu kwa mabosi zake sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…