Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,162
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]hapo naona nafasi mbili
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]hapo naona nafasi mbili
Itakuanami nimehesabu zikagoma! Nadhani alishapiga bia akiwa stoo unajua za kuiba zinaleweshaga vibaya.
Uongo kiwango cha lami huuWengine tunapenda flat screen
Ukizoea kudanga ata ya kuolewa unaona huna vigezo..
Ushajiridhisha kuwa huyo ni store keeper?nami nimehesabu zikagoma! Nadhani alishapiga bia akiwa stoo unajua za kuiba zinaleweshaga vibaya.
😂😁😁😁😁😁😁 waturudishie tangazo la FATAKI tumelimiss mbaya na kwa hizi stress za kutafuta ajira, huwa haya yaliyomo yamo nayo yanatuliwaza kidogoChangudoa mzee wewe.
Wewe HALELUYA, hata ukiitwa kwenye usaili kwa kazi hii unaweza ukageuka jiwe, haya waachie wakina kaisali 😁😁😁😁😁vp kuna usaili
Arusha kama uko very interested mbonyezee namba hiyo katoa piga tubaa ipo wapi
Alietoa tangazo hata kama ni nick name ameshaliona a. k. a unaitwa HALELUYA na hii kazi ya kilaji huwa havishabihiani braza kakaaaakwanin mkuu
Mkuu unafikili wajapani hawapendwiUongo kiwango cha lami huu
Hahahahaha ndyoMkuu unafikili wajapani hawapendwi
Kupendwa kwao labla pale kunapokuwa hakuna ushindani, au kwa maslahi lakini akikaa mbongo mwenye noah na mjapani flat screen watapata taabuu sanaaa wajapanMkuu unafikili wajapani hawapendwi