Wanahitajika vijana 4 haraka!

Wanahitajika vijana 4 haraka!

Well said invisible, watu wanapokuwa na negative attitude kwa kila kitu ni tatizo kubwa sana, mimi vijana wote niliowahi kufanya nao kazi huwa tunakula meza moja, kama ni dagaa basi wote tutakula dagaa, kama ni maharage wote tunakula maharage,hivyo yaani
Vizuri...ila inabidi uongezee siku nyingine iwe kama ni nyama wote mle nyama na kama ni pilau samaki wote mle pilau samaki...msiishie kula pamoja dagaa na maharage,maisha ni haya haya tu.
 
Vizuri...ila inabidi uongezee siku nyingine iwe kama ni nyama wote mle nyama na kama ni pilau samaki wote mle pilau samaki...msiishie kula pamoja dagaa na maharage,maisha ni haya haya tu.

Hiyo ni summary tu, maana yake ni pamoja na nyama, samaki, maini, njegere, njugumawe, kisamvu, senene n.k!
 
Hapo anasubiri awajaze madogo wote wanne chumba kimoja chenye magodoro yaliyolika, na kuwalisha ugali kila siku na kuwatumikisha bila kuangalia upande wao na kujali maslahi tu
Mbona ni kama unadandia Gari kwa mbele?.

Hapo ameshasema ataonana na Wazazi au Walezi sasa hao si ndio jukumu lao kujiridhisha kama Wana wao watakuwa salama?.

Kwa kijana asiye na la kufanya sidhani kama ana cha kupoteza, kwani huenda huko alipo kwa sasa hata huo ugali na kwa kulala ni taabu tupu.
 
Kweli life lina bana
Acha nikomae na ulinzi wangu wakufungua ma geti.
kuna mwana alisem kazi ya ulinzi haitak anataka kazi ambayo atajifunza kitu kipya kila siku nikamjibu kazi ya ulinzi utajifunza vitu vingi sana ndani ya siku moja sehemu unayolinda pakiibiwa vitu na wewe haujaumia hata kidogo
 
kuna mwana alisem kazi ya ulinzi haitak anataka kazi ambayo atajifunza kitu kipya kila siku nikamjibu kazi ya ulinzi utajifunza vitu vingi sana ndani ya siku moja sehemu unayolinda pakiibiwa vitu na wewe haujaumia hata kk
Ngoja askizie mchongo
 
Back
Top Bottom