wanahitajika Samaki aina ya prons...kilo za kutosha...

Gang Chomba

Platinum Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,734
Reaction score
4,871
Gang Chomba anaanza kwa salam...
wakuu kwema?
Kama kuna mtu anayeweza kurahisisha kwa upatikanaji Samaki aina ya Prons naomba anijuze kwa Inbox then tuweze fanya Biashara, niko Dar.

Jieleze Kilo inapatikana kwa bei gani, na wana ukubwa gani, na wanapatikana wapi?
 
Mkuu toa specification zako kwanza ili mtu ajuwe kwamba anaweza kumeet you're demand, na quantity huitaji wako ni kilo ngapi kwa siku ngapi za wiki?
Bei inategemea na uhitaji wako, maana si unajuwa hao wadudu wanachukuliwa sana Mahotelini?
 
Ulikuwa unamaanisha prawns (kamba)? au "prons" ni aina ya samaki ambayo siijui?
 
Na ndio dhumuni kuu Kaka wanapelekwa huko na kwa kuanzia wanahitajika kilo kama hamsini then baada ya hapo watahitajika zaidi...
Niliwapa kazi vijana wakaniletea kwenye kapu Wa kula nyumbani...
 
Ulikuwa unamaanisha prawns (kamba)? au "prons" ni aina ya samaki ambayo siijui?

lini unafturisha?
Kijua ndio hiki, usipouamika utautwanga Mbichi.
Asa ole wako dikodiko lisiwe la maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…