Ziada
Member
- Dec 27, 2013
- 82
- 17
Wanahitajika mechanical Engineer watatu kwa kazi ya miezi miwili , kazi ni mbeya, kwa wanao tokea mbali watarudishiwa nauli yao namalazi ya siku 14 then watajitafutia makazi. Mshahara laki 8 lunch free,usafiri kwenda na kurudi kazini na matibabu kipindi chote utakachokuwa huko, elimu advanced diploma au degree kwa mwenye vigezo njoo inbox.