WANAHISABATI TU NDIO WANAWEZA KUHAKIKI HII KANUNI

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
8,296
2,000
Waalimu wangekuwa wanatumia model kama hizo, hesabu ingependwa saaana!!
 

LuisMkinga

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
1,479
2,000
Hiyo ni namba Tisa ukiitaza kiupande ikikuangalia kwa mbele ni herufi P na ukiitazama kwa upana wa nyuma ni herufi Y
 

Hunyu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,788
2,000
Mwenye Dawa ya kubadili numerator kuwa denominator na virse versa ajitokeze..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom