Wanahesabu tukutane humu

engineer 1

Member
Joined
Sep 3, 2020
Posts
21
Reaction score
24
Tafuta namba zinazoweza kukaa kwenye izo box [] ili kukupa jibu katika pande zote mbili juu na chini

Njooni tupashe damu.

Find the value of
A, B, C and D?

 
Tafuta namba zinazoweza kukaa kwenye izo box [] ili kukupa jibu katika pande zote mbili juu na chini

Njooni tupashe damu
View attachment 1585398
Let 1.A+B=8
2.C-D=6
3.A+C=13
4.B+D=8

Say A=8-B and C=6+D
Thus:A+C=8-B+6+D
But A+C=13
So 8-B+6+D=13
-B+D=13-14
D=B-1.

From B+D=8
B+B-1=8
2B=9
B=4.5
A=3.5
C=9.5
D=3.5

Yaani: 3.5+4.5=8
9.5-3.5=6
3.5+9.5=13
4.5+3.5=8
 
Ebu tusaidiane kufikili mtunzi alitumia njia gani kupanga izo namba ili tuwezze kupata the missing number?
 
Acha nipige zangu kimya kimya.

Mimi Karucee na mahesabu mbali mbali.
 
A = 3.5
B = 4.5
C = 9.5
D = 3.5
 
A = 3.5
B = 4.5
C = 9.5
D = 3.5
A + B = 8
A + C =13
-------------------B - C =-5

B + D = 8
C - D = 6
-------------------B + C = 14
------------------B = 4.5
------------------C = 9.5
A + B = 8
A = 8 - 4.5
A = 3.5

C - D = 6
D = 9.5 - 6
D = 3.5
 
Kweli kuna tofauti kati ya Hesabu na Hisabati, wengine tumezoea kusolve complex equations hivyo ukileta swali kama hilo naona kama uko Shule ya msingi bado, ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…