Wanaharakati waliokamatwa waachiwa

Wanaharakati waliokamatwa waachiwa

tutafika tu hata kama tutakua tumechoka mapinduzi daima lazima yawe na maumivu
 
Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba wameachiwa kwa dhamana na wamefunguliwa mashtaka ya kufanya mkusanyiko usio rasmi..Hivyo, wameachiwa baada ya kufunguliwa mashtaka! Ni jukumu letu sote kuwatetea, kuwaunga mkono na kesho ikitokea wito wa kufanya mkusanyiko kama huu Watanzania wenzangu jumuikeni kwa pamoja ili sauti za madai yenu zipate nguvu zaidi.
 
Tukiwasaliti wanaharakati hawa damu yao iwe juu yetu!!
 
kwa hii move yao, hawa wamama wametu-embarrass sana sisi wanaume ambao tunaishia kwenye ushujaa wa kuandika manure kwenye keyboard za computer bila ya vitendo.

imagine even nusu tu ya hawa JF members wote (over 63,000?) wangejumuika pale barabarani kuwapa shavu hawa wamama...... that would have been "great thinking" in its real shape!
 
Tukiwasaliti wanaharakati hawa damu yao iwe juu yetu!!

Iwe juu yako mwenyewe. Wayahudi walisema msemo huo wakati wanamsulubisha Yesu wakisema damu yake iwe juu yao na uzao wao. Unaona jinsi gani Wayahudi wanavyoteseka na ugomvi usioisha na wapalestina hadi leo.
 
iwe juu yako mwenyewe. wayahudi walisema msemo huo wakati wanamsulubisha yesu wakisema damu yake iwe juu yao na uzao wao. Unaona jinsi gani wayahudi wanavyoteseka na ugomvi usioisha na wapalestina hadi leo.

wayahudi hawakumsulubisha yesu ni warumi ndio waliomsulubisha yesu. Hiyo ni propaganda ya wazungu kutaka kuwachafua wayahudi na nahisi ni aina fulani ya ubaguzi. Askari na pilato wote walikuwa ni warumi na sio wayahudi. Ni wazo jipya !!!!!
 
hakuna mwanaharakati pale walikuepo wauza sura tu
 
Back
Top Bottom