Wanaharakati waililia mwanaHalisi

Wanaharakati waililia mwanaHalisi

Status
Not open for further replies.
Mwanahalisi nitalikumbuka daima gazeti langu kipenzi.
 
Lilifungiwa kwa sababu lilikuwa linasema ukweli na kwa uwazi. Viongozi wetu wamesahau kuwa ukweli huwezi kuufunika kwa kiganja cha mkono. Kwa kulifungia ndiyo kwanza walizidi kujianika kwani sasa tunajua serikali ndiyo inayojihusisha moja kwa moja na vitendo hivi.
 
Tanzania Daima si lipo? Au mbowe yupo kibiashara zaid so anaogopa lisifungiwe? Maana slaa katuambia wale watu wake wa kwenye system walimjulisha juu ya mpango huo


Songoro Songoro...umepata nini ulichokosa wakati unahariri gazeti la HEKO na Ben Mtobwa?

Yaani vipesa kidogo tu na hako kacheo unasaliti mageuzi? yaani siamini ni wewe unasema haya Songoro...
 
....mkuu ukitaja Mwanahalisi, ikulu ya Salva wanaweweseka....nina mashaka kama litafunguliwa....kwangu mie nina "maktaba" ya gazeti hili nilikuwa sikosi "hardcopy" yake....siku CCM ikitoka madarakani huo utakuwa ni ukombozi wa pili kwa Mtanzania, mpenda haki....
 
Salamu wakuu,
natumain mwanahalisi ungekua barabarani ungetutegulia vitendawili vingi vinavyoendelea kulizonga taifa,pamoja na sinto fahamu nyingi. Kuanzia kibanda,lwakatare na mazonge zonge kibao. I miss you mwana halisi. Leo nimeshika gazeti la mwisho kutolewa na hali halisi na kusoma mtekaji wa ulimboka dahh,
 
Kikwete anasema hili gazeti lilikuwa linachochea wanajeshi kufanya uasi ndo maana akalifungia
 
kama vp kubenea afungue gazeti jingine maana nyinyiemu wameling'ang'ania sn
 
Kubenea naona anapiga mahesabu pa kuanzia. Maana wanamfunga mdomo, mikono, miguu. Walitaka kumfunga macho kwa kutumia tindikali lakini naona Kubenea is far stronger than them - akaipangua!
 
Natamani siku mmoja Kubenea aje kuwa rais wa nchi hii, sijui atafanana na Kagame? Sokoine? ................
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom