Wanaharakati waililia mwanaHalisi

Wanaharakati waililia mwanaHalisi

Status
Not open for further replies.
je leo hii mim nikiandika vipeperushi vya uchochezi kama mnavyoita na kuweka jina langu pamoja na address yangu niliyeandika.

Je, vitahukumiwa vipeperushi au nitahukumiwa mimi niliyeandika!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
kama kipeperushi na gezeti ni kitu kimoja poa. ila mimi nakushauri ukitaka kuwa na uhakika kwamba hapo nani atachukuliwa hatua; basi jaribu kuandika.
 
TANGU LIMEFUNGIWA NLISHAACHA KUNUNUA MAGAZETI KWANI HATA YALIYOBAKI HAYAWEZI KUWA WAZI ZAIDI KWA YANAOGOPA KUFUNGIWA.:target:
 
hakika lingekuwapo mtaani ningujua hasa sababu za vurugu ziendeleazo mtwara kuhusu gesi kwa kina.
Said kubenea na jopo lake la waandishi wenye kuleta habari zilizofanyiwa tafiti za uhakika.
kwakweli serekali dhalili huwa haipendi kuambiwa ukweli.
hakuna asiejua sababu za kufungiwa kwake,
ni sababu limekua likisimamia ukweli na katika kuzuia dhulma kwa taifa.
kilakitu kina mwisho litarudi mtaani kama kawaida na litawafumbua macho waliofumba
 
kwa niaba ya kubenea.
Tatizo mtwara ni elimu, wana mtwara wana takiwa waambiwe gesi iliyo patikana sio oxygen.
Bali iliyopatikana ni gesi asilia ambayo ni mchanganyiko wa hydrocarbons kama methane, carbon dioxide, hydrogen sulfide na nitrogen.
Napia waambiwe ikiletwa dar hawata kufa kwakuwa haina uhusiano wowote na oxygen wanayotumia kupumulia.
 
labda uende ukawaeleze wewe watakuelewa
 
Utaiti ni kitu gani yarabi?
hakika lingekuwapo mtaani ningujua hasa sababu za vurugu ziendeleazo mtwara kuhusu gesi kwa kina.
Said kubenea na jopo lake la waandishi wenye kuleta habari zilizofanyiwa tafiti za uhakika.
kwakweli serekali dhalili huwa haipendi kuambiwa ukweli.
hakuna asiejua sababu za kufungiwa kwake,
ni sababu limekua likisimamia ukweli na katika kuzuia dhulma kwa taifa.
kilakitu kina mwisho litarudi mtaani kama kawaida na litawafumbua macho waliofumba
 
Hivi kwa nini Kubenea na kundi lake wanashindwa kufungua online newspaper?

Haya mambo ya kutaka kuendesha magazeti kizamani yatawatokea puani

Kama mwanahalisi wameshindwa nashauri Max na kundi lake anzisheni online newspaper na waandishi mtaangalia namna ya kuwalipa kwa story zao

If only kama mko serious.
 
duh!
sidhani kama hata wewe upo serious kwa hili....
halafu watasoma watu wangapi huko online?
umeniua zaidi uliposema JF wafungue gazeti online, are you serious kweli? embu tupe picha liweje?
 
JF ina members wangapi?

Na je JF inasomwa na watu wangapi?

Michuzi inasomwa na watu wangapi?

Unajua kwa nini William Malecela siku hizi haonikani humu JF?

Kama majibu ya haya unayo then utaelewa kwa nini nasema kuwa future no online na sio huko mlikozowea
 
yupo ban alitukana watu
 
kuna uwezekano ikachukua miaka 7 (mda wa shule ya msingi) kuweza kukuelewa. tufanye nimekuelewa ili tuishie hapa.
 
Hapa umemuonea Kubenea. Sijui kama ana ujuzi na ithibati ya kujikita kwenye mtandao na elimu yake ya darasa la kumi na mbili plus diploma aliyoipata juzi huku Uholanzi. Kama Zitto nadhani Kubenea ni mchumia tumbo wa kawaida ambaye alipanda chati baada ya kumwagiwa tindikali. Huoni wasomi kama Tegambwage ambaye ndiye aliyemtengeza Kubenea anaendelea kuandika kwenye magazeti mengine wakati Kubenea hana soko? Ataandika nini kwenye uchambuzi zaidi ya kuvizia habari toka kwa watu wengine na kuziandika kwa jina lake? Hawezi kupata fursa hii kwenye magazeti ambayo hayamilki.
Hivi kwa nini Kubenea na kundi lake wanashindwa kufungua online newspaper?

Haya mambo ya kutaka kuendesha magazeti kizamani yatawatokea puani

Kama mwanahalisi wameshindwa nashauri Max na kundi lake anzisheni online newspaper na waandishi mtaangalia namna ya kuwalipa kwa story zao

If only kama mko serious.
 
Hapa umemuonea Kubenea. Sijui kama ana ujuzi na ithibati ya kujikita kwenye mtandao na elimu yake ya darasa la kumi na mbili plus diploma aliyoipata juzi huku Uholanzi. Kama Zitto nadhani Kubenea ni mchumia tumbo wa kawaida ambaye alipanda chati baada ya kumwagiwa tindikali. Huoni wasomi kama Tegambwage ambaye ndiye aliyemtengeza Kubenea anaendelea kuandika kwenye magazeti mengine wakati Kubenea hana soko? Ataandika nini kwenye uchambuzi zaidi ya kuvizia habari toka kwa watu wengine na kuziandika kwa jina lake? Hawezi kupata fursa hii kwenye magazeti ambayo hayamilki.
Hapa Mhe. Zitto ameingiaje kwenye hii Mada? Naona posti zako nyingi ni kumkandya Zitto, kulikoni!
 
Katika matukio tata kama ambayo yanaendelea sasa ndipo umuhimu wa Mwanahalisi unapoonekana. Hii haimaaanishi napuuza mchango wa vyombo vingine vya habari bali kwa pamoja tungeweza kupata taarifa za mpango huu hata kabla ya Video ile kutolewa katika mitandao

Mwanahalisi ingetueleza hivi; Video inayohujumu chadema kusambazwa wiki hii, lengo lake ni kusambaratisha chadema, Mwigulu Nchemba na Ludovick Joseph watajwa kutengeneza video hiyo.

Mwanahalisi lisingeishia hapo, bali lingeweka wazi nani anafadhili mpango huo, ni lini vibeo hiyo ilitengenezwa, nani aliwasiliana na nani ili kutekeleza mkakati huo.

Kwa kuwa taarifa hizi zingetoka mapema. Ni wazi mpango huu ungevurugika na kujenga hali ya kutoaminiana miongoni mwa wahusika hao.

Hiyo ndio nguvu ya Mwanahalisi.
 
Tanzania Daima si lipo? Au mbowe yupo kibiashara zaid so anaogopa lisifungiwe? Maana slaa katuambia wale watu wake wa kwenye system walimjulisha juu ya mpango huo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom