Wanahakati wa siasa bongo jau sana

Wanahakati wa siasa bongo jau sana

Wanaharakati wa siasa wa bongo, yani wanatupigisha fantasy ya ajabu sana😅


Oooohh mahakama ya the hegi😁 Cc Bufa.

Eti Marekani wanasikia kilio chetu, gademitt, wapi ulisikia Marekani anajali nyumbu yeyote zaidi ya maslai yake? Hatuwezi jipambania wenyewe, sisi tutabaki kama washika mapembe na wapiga ramli tu, wazee wa code Uchwara gademitt.

Note; nipo bia ya 18 wakuokota waokote , na log out.🤗

Unapiga kwenye mshono, mkuu 😁😁😁
 
Sauti ya waTz itapaa kupitia spika ya nani ikiwa bunge ni la chama kimoja?

Upinzani wana agenda zao ziko mezani na ziko clear, However upinzani hawawezi kumanage kila kinachozungumzwa na kila mtu anayejifungamanisha na upinzani. Matamko ya chama ndio dira.


Mkuu unataja CDM wafanye nini juu ya movement za wanaharakati wengine, ikiwa CDM wenyewe wanaamini katika democrasia?

Wafanyaje ? waje na statement huyu ni wetu huyu si wetu? Nieleweshe
Cdm kitu wamekosa ni ujasusi ndani ya chama na unafki , unapompiga adui usichague sehemu ya kupiga
 
Cdm kitu wamekosa ni ujasusi ndani ya chama na unafki , unapompiga adui usichague sehemu ya kupiga
Bwashe tuchangie chama 😂

Bila hela kuna mambo ni magumu kutekelezwa.

Walahi CDM ikifanikiwa kufutwa watu wote wakanyamazishwa, hakuna rangi tutaacha kuona. Kama tunaipenda Tz, tunataka kulea watoto Tz tusapoti upinzani.
 
Unapiga kwenye mshono, mkuu 😁😁😁
Bwashee hii nimepiga kwenye kitovu ya mtoto kinachokatwa baada ya uzazi na watekaji wamewasha magari safari yao, niokotwe katavi ablada kichwa tu 🤣🤣🤣
 
Bwashe tuchangie chama 😂

Bila hela kuna mambo ni magumu kutekelezwa.

Walahi CDM ikifanikiwa kufutwa watu wote wakanyamazishwa, hakuna rangi tutaacha kuona. Kama tunaipenda Tz, tunataka kulea watoto Tz tusapoti upinzani.
Bwashee chama nachangia vibaya mno
 
Tunajua no free lunch lakini anatusaidia mdogo mdogo,bila wao sijui hata hii JF kama ingekuwepo na lissu wangeshamzika zamani
Bwashee , upambanaji wa kweli , utatoka ndani wazungu au hao unaowategemea utajuaje wameshakaa meza moja na watesi wetu, mambo yameenda classified , kwa maslai yao , zilizo baki ni Drama tu?
 
Back
Top Bottom