Wanahakati wa siasa bongo jau sana

Wanahakati wa siasa bongo jau sana

Wabinafsishe Kila kitu ila tusibinafsishiane makalio aiseeee....kwanza sijawahi hata kuipanda ndege eti niumie kisa Airport kubinafsishwa
Pumbavu sana😅😅
 
Asee acha hii vita nitakunyonga bwashee
Hawa ndo wamatumbi wenye laana bwashee😂😂

Yaani anaongea kitu ambacho haipo kabisa, sometimes kutumia emotions vibaya ni hatari sana, ndo kinacho wakumba wa kina Lissu... Sometimes soma mchezo kabla ya kuucheza
 
Situmiki na taka taka ya sisiemi asee ila nakutana na wakubw kwenye pombe wanathibisha uhuni wa waharakati uchwara ambao mimi nakua natetea kwenye maneno ya kusindikiza ulevi
Unathibitishaje ukweli wa wanachosema hao wakubwa dhidi ya wanaharakati? Miaka na miaka wanaharakati wamesingiziwa kila baya.

Mi sidhani kama taifa adui zetu ni wanaharakati.

Hii kitu naongea na hao nyumbu wanajijua kmmk zao.
 
Hawa ndo wamatumbi wenye laana bwashee😂😂

Yaani anaongea kitu ambacho haipo kabisa, sometimes kutumia emotions vibaya ni hatari sana, ndo kinacho wakumba wa kina Lissu... Sometimes soma mchezo kabla ya kuucheza
Tulia lissu ni mkombozi , hauwezi badilisha yeye ndani yake alivyo
 
Unathibitishaje ukweli wa wanachosema hao wakubwa dhidi ya wanaharakati? Miaka na miaka wanaharakati wamesingiziwa kila baya.

Mi sidhani kama taifa adui zetu ni wanaharakati.
Shangazi pia alikua mwanaharakati, unakumbuka?
 
Tulia lissu ni mkombozi , hauwezi badilisha yeye ndani yake alivyo
I know ila it's a wrong move.
Na kwake yuko sahihi maana he's gone thru alot. Ila kwa sisi wamatumbi yapaswa kumwonea huruma.

Anatesekea viazi tu
 
Shangazi pia alikua mwanaharakati, unakumbuka?
Nakumbuka, hata Mbowe…

CCM inatumia tools zote kudhoofisha harakati: mahakama, polisi, media, wasiojulikana , kodi zetu zinahongwa mchana na usiku, kodi zinatumika kufuatilia wana harakati, kufund project za kuteka na kutesa. Sio wote watafurukuta/watasavaivu hili rungu.

Mtu akiyaaga mashindano tumuelewe.

Kama una hasira na wana harakati, my friend hasira zao unapeleka mahali sio….

Unless kuna kingine unafahamu utushirikishe.
 
I know ila it's a wrong move.
Na kwake yuko sahihi maana he's gone thru alot. Ila kwa sisi wamatumbi yapaswa kumwonea huruma.

Anatesekea viazi tu
Nchi lazima ipambaniwe kwa damu na jasho ,haijalishi watakufa kina na nani na wangapi asee
 
Kama kupigana rahisi pigana wewe, yaani wewe umejifunika shuka ndani kwako unataka upiganiwe na wanaume wenzio. Wakipewa kesi za uhaini mnaishia kuwacheka
Bwashee za ndani kabisa , tunapigiwa drama Uchwara na wanaharakati viazi na chadema wanaufyata tu
 
Nakumbuka, hata Mbowe…

CCM inatumia tools zote kudhoofisha harakati: mahakama, polisi, media, wasiojulikana , kodi zetu zinahongwa mchana na usiku, kodi zinatumika kufuatilia wana harakati, kufund project za kuteka na kutesa. Sio wote watafurukuta/watasavaivu hili rungu.

Mtu akiyaaga mashindano tumuelewe.

Kama una hasira na wana harakati, my friend hasira zao unapeleka mahali sio….

Unless kuna kingine unafahamu utushirikishe.
Wanaharakati uchwara wanakuaje na nguvu kuliko sauti ya watanzania ?

Nakubali harakati na muhimu wake , ila mfumo wa upinzani unashindwa vipi kutambua harakati uchwara?

Sasa hivi mpo kwenye movement za kumtafuta recho dagwa😅😅😅

Asee niacheni ninywe bia bhana🤣
 
Hujui EU wamezuia misaada na senate ya US wanafanya investigation ya hii serikali, commonwealth wametoa deadline kwa hii serikali nini kifanyike,kuna maofisa wengi wamepigwa ban na hawawezi kuficha pesa zao kwa beberu, bwashee fuatilia news kuna pressure kubwa sana kutoka nje sasa kuidhibiti hii serikali ya wahuni
 
Kama kupigana rahisi pigana wewe, yaani wewe umejifunika shuka ndani kwako unataka upiganiwe na wanaume wenzio. Wakipewa kesi za uhaini mnaishia kuwacheka
Napigana khatwe au wewe ndio yule ninaemtaja hapa nini ? Na sukari yako imepanda sasa?
 
Hujui EU wamezuia misaada na senate ya US wanafanya investigation ya hii serikali, commonwealth wametoa deadline kwa hii serikali nini kifanyike,kuna maofisa wengi wamepigwa ban na hawawezi kuficha pesa zao kwa beberu, bwashee fuatilia news kuna pressure kubwa sana kutoka nje sasa kuidhibiti hii serikali ya wahuni
Bwashee achana na upambanaji kwa kutegemea wazungu ,mzungu maslai yake kwanza ni kipaumbele, hapo ni maslai yake hayajafika kilo ndio maana kabana
 
Wanaharakati uchwara wanakuaje na nguvu kuliko sauti ya watanzania ?

Sauti ya waTz itapaa kupitia spika ya nani ikiwa bunge ni la chama kimoja?
Nakubali harakati na muhimu wake , ila mfumo wa upinzani unashindwa vipi kutambua harakati uchwara?
Upinzani wana agenda zao ziko mezani na ziko clear, However upinzani hawawezi kumanage kila kinachozungumzwa na kila mtu anayejifungamanisha na upinzani. Matamko ya chama ndio dira.

Sasa hivi mpo kwenye movement za kumtafuta recho dagwa😅😅😅

Asee niacheni ninywe bia bhana🤣
Mkuu unataja CDM wafanye nini juu ya movement za wanaharakati wengine, ikiwa CDM wenyewe wanaamini katika democrasia?

Wafanyaje ? waje na statement huyu ni wetu huyu si wetu? Nieleweshe
 
Back
Top Bottom