Wanahabari wamkaushia Rais.

Wanahabari wamkaushia Rais.

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,649
Reaction score
5,074
Salam za weekend wakuu...
Jana katika uteuzi wa baraza la mawaziri kulitokea jambo lisilo la kawaida.
Mara baada ya rais kumaliza alitoa nafasi kwa waandishi waweze kumuuliza maswali yeye ama waziri mkuu au Makamu wa rais.
Lakini waandishi waliamua kukaa kimya.
Jambo hili sio la kawaida kabisa,hasa kwa hali ya mambo yalivyo maana kuna mambo mengi ya kuhitaji kupata ufafanuzi,iweje wao wakae kimya?
Wamechoka kufanya kazi? Maelekezo kutoka juu wasiulize chochote?
Ushauri,
Press nyingine zifanyike vyuoni kama pale udsm ili waweze kumuhoji vizuri.
wasalam..
 
Huwezi jua. Inawezekana waliambiwa mapema. Hatutaki maswali.
 
Ni bora kula ugali wako na watoto wako ukiigiza bubu
kuliko kujifanya una kipaji cha kuuliza halafu uache watoto yatima
Mmhh..

Na wewe umefika level hizi!??
 
Salam za weekend wakuu...
Jana katika uteuzi wa baraza la mawaziri kulitokea jambo lisilo la kawaida.
Mara baada ya rais kumaliza alitoa nafasi kwa waandishi waweze kumuuliza maswali yeye ama waziri mkuu au Makamu wa rais.
Lakini waandishi waliamua kukaa kimya.
Jambo hili sio la kawaida kabisa,hasa kwa hali ya mambo yalivyo maana kuna mambo mengi ya kuhitaji kupata ufafanuzi,iweje wao wakae kimya?
Wamechoka kufanya kazi? Maelekezo kutoka juu wasiulize chochote?
Ushauri,
Press nyingine zifanyike vyuoni kama pale udsm ili waweze kumuhoji vizuri.
wasalam..
Waliona hakuna mpya wakaogopa kuhoji chochote wasije kuitwa wachochezi
 
Kimsingi rais wetu huwa hajibu maswali anayoulizwa bali hujibu vile anavyotaka yeye na kuishia kutiririsha kejeli. Enzi za JK alikuwa anajitahidi japo naye alikuwa msanii kwa kuandaa watu wa kumuuliza na maswali ya kuulizwa. Udhaifu huu wa Magufuli ndio utachangia asisafiri kwenda nchi zinazojali demokrasia maana huko udhaifu wake itakuwa gumzo.
 
Kudhalilishwa na mtu usiyeweza kumfanya lolote.

Unaweza ukauliza ukajibiwa "ulitaka uteuliwe wewe"
Shoza kapata Uwaziri kwa Rushwa isiyojulikana unategemea swali? Nani angethubutu?
 
Back
Top Bottom