maarifa zaidi
New Member
- Jan 17, 2017
- 3
- 1
Nachukuwa fursa hii kuanzisha utaratibu wa kuanzisha group la wenzangu tuliosomea kozi ya maendeleo ya jamii,Sociology na Social work.Kwa kuzingatia changamoto nyingi zinazotukabili hususan za ajira na fursa zilizopo naomba kushauri wanavyuo wote na wahitimu ambao hadi sasa hawajapata ajira tukutane kutengeneza database ya wataalamu ili kuwa na focal point ya kutengeneza network............
Kwa yeyote atakaetaka kushiriki tafadhali tuwasiliane weka namba yako hapa au njoo PM
Asanteni:Changia tu endapo ombi langu linakuhusu.....Nawasilisha
Kwa yeyote atakaetaka kushiriki tafadhali tuwasiliane weka namba yako hapa au njoo PM
Asanteni:Changia tu endapo ombi langu linakuhusu.....Nawasilisha