inatakiwa kutoa tamko moja la wanafunzi kidato cha sita, na sio kuacha nidhamu za uoga tumezungushwa vya kutosha this year....waziri wa elimu yuko waap kutoa tamko.
Me n undergraduate Udsm the home of intellectuals 2013-2014 jeshi la kngese halini husu..
intellectual unadhihak chombo cha ulinzi!!! Then jesh hapo haliusiki na hiyo mipango kwan kazi yake ni kutekeleza agizo la serikali.so lawama zielekezwe serikalini na sio kwenye jeshi letu...
Michael snow...
hawa watoto wanadhani kusoma udsm ndio kuwa intellectual... jamaa hata hajui miamala ya serikali inaongozwaje...
hawa walikuwa wanadhani jkt walikua wanacheza kidali pooo wakati wanatoa taarifa za kupokea wanafunzi kwa session tofauti tofauti hadi january...
wacha waendee waendeee tena waendeeee, chuo may kama hutaki nenda hiyo october sasa
jeshi jakuna kwenda hapa imefika stage nikugoma tuu saizi inaenda awamu ya 3 na ya4 itaenda lin
inatakiwa kutoa tamko moja la wanafunzi kidato cha sita, na sio kuacha nidhamu za uoga tumezungushwa vya kutosha this year....waziri wa elimu yuko waap kutoa tamko.
Jishebedueni tu, jeshini mwende mmezidi umayai.
kaaazii kwelikweli
intellectual unadhihak chombo cha ulinzi!!! Then jesh hapo haliusiki na hiyo mipango kwan kazi yake ni kutekeleza agizo la serikali.so lawama zielekezwe serikalini na sio kwenye jeshi letu...
umeona eeh? wakapige kwata wamezidi kujilegeza, nimewafuatilia katika uzi huu wanalialia tu, kwa taarifa tu huku kulialia dawa ni kwata, Nuwa za nguvu, root za kutembea na kukimbia za kutosha, full peck, ruka vikwazo! Sana ni kushauri muda uongezwe, angalau miezi minne.
unajua hata ilivyokua kipindi cha nyuma mtu alikua hapati ajira mpaka uonyeshe cheti cha jkt....na ndivo itakavyokua,therefor ucpoenda sasa hivi kwa kuchaguliwa utaenda badae kwa kuomba! kwa mtazamo wangu binafsi ni vyema kuwasiliana na vyuo kuhusu admmision n regstrtn zetu kama zitatusubiri au laa! kama wakisema nendeni jkt thn mkitoka huko mje chuoni kwa utaratibu a..b..c...SAWA tuende huko jkt. Ila kama chuo wakiwa tofauti na jkt(hawatamsubiria mtu na kumuwekea nafasi) basi apo akili kichwani kipi cha muhimu kwako. Mimi naanza kupiga simu hukoo chuoni nlikopangiwa kama wanaweza kuniambia chochote kitakachonitoa SINTOFAHAM!
Sugu yupi...?
Au ndo yule ----- aliyeimbaga mitusi (anti virus) kumkejeli ruge wa clauz....
au ni yule mwanamasumbwi wa bungeni....
jamani lile ni liboya tu linaelea mpaka kwenye hewa...