NN,
Tatizo siyo Maengineer. Tatizo ni absence of research funding. Kama serikali yetu ingeweka kipaumbele kwenye swala la utafiti kivitendo, nina uhakika maengineer wetu wangekuja na solution nzuri tu za matatizo yetu.
Nchi za ulaya mwanafunzi mmoja anatengewa zaidi ya usd 20,000 kwa utafiti. Marekani ni zaidi ya hapo. Sisi, mmmh sifuri.
Kwa hiyo tusiwalaumu wataalam wetu na wanafunzi wetu wenye vipaji maalum.
Halafu kwanza walikuwa na vipaji gani na kwenye nini?
Lakini zle shule serikali lazima izirudishe kwani zilikuwa zinamotivate sana vijana. wewe ambae hujasoma special huji utamu wa special. umechelewa na haiwezekani tena, ni experience ya tofauti kusoma na vijana vipaji.
Naona watu wana hasira kweli hapa. Mi sidhani mtu akiitwa ana kipaji maalum basi ndo utegemee avumbue nyuklia katika mazingira haya haya ya Tanzania. Nchi yetu tunaijua na jjamii yetu pia. Hata usipokuwa na "kipaji maalum" mazingira yetu yana changamoto nyingi. Vipaji maalum actually ilikuwa ni kigezo cha marks na si upeo wa mtu binafsi. Hata wanaoponda "vipaji maalum" kwani kuna lipi walilofanya? Ni Watanzania wangapi wamefanya discoveries zozote za maana (bila kujali ni vipaji maalum ama la)? Nchi zetu "ubongo" bado umelala. Mi nilisoma Mzumbe. Ni wazi palikuwa na wengi waliokuwa na uwezo binafsi kichwani jappo ni kweli pia wengine hawakuwa na uwezo wowote usio wa kawaida.
Mimi bado nagombana na Watanzania kwa ujumla kuliko kugombana na "wenye vipaji maalum." Ni wangapi huu JF wanatoa hoja ambazo ni constructive sana? Angalia hata jukwaa la Sayansi na Technolojia ni wangapi wanachangia? Hivi hamuoni wengi tunakimbilia majukwaa ya Mapenzi, Siasa na Michezo? Tutatukanana hadi kesho, swali litabaki, je wewe una lipi la ajabu unaloweza kutuonyesha?

Naishukuru sana Ilboru! Imenitengeneza na imeendeleza kipaji changu. Am special..kila mtu anaapreciate!
Tupo mkuu, mie nilikuwa Ilboru kweli hatuna mbele wala nyuma, isitoshe tulikuwa tunatafuniwa kila kitu, nilipofika chuo (udsm) nilitamani tujengewe chuo chetu, pale FOE (FACULTY OF ENGINEERING) shule ilikuwa ngumu mno, wengi tulikula disco wakatupotezea, najuta kusoma special skul, tupo tupo tu .....
Ma engineer wa kwenye makaratasi tu hao. Ma engineer gani wanashindwa kuvumbua mashine za kutengenezea/kuzalisha umeme....kila mwaka kuna mgao.....Miafrika bana
jipe moyo ndugukwa kwel mim ni kat yao, nilimaliza tabora school 97_nime graduate 2002, na nimekuwa najitahid kuleta mabadiliko always. Nimewahi kuandikiwa barua ya pongez na boss wangu kwa utendaji wangu_tatizo in public service there is no enough room to show how much u can_cauz the room is reserved for the use of politicians_ndo mana hata vipanga wote kama akina prof wa mifupa wameishia kwenye siasa tu_kaz sana hapa tz