Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,052
- 2,205
Natamani kuwaona,natamani kusikia wako wapi.hivi wameonyesha kwamba wao ni 'special' kwa kuleta maendeleo nchini?au walipewa misifa isiyostahili.wale wa mzumbe,Ilboru,Tabora boys,Kibaha,msalato,Kilakala wamepotelea wapi?naongelea wale wanafunzi wa miaka ya 90's mpaka early 2000's kabla mfumo wa elimu haujachakachuliwa.