Tupo hatuna mbele wala nyuma!baada ya form6 hakuna aliyefanya evaluation kama lengo la special schools lilifanikiwa au?tatizo tz hakuna mfumo wa kueleweka wa elimu
NN watakuchukia haoVipaji gani? Vya kukremu past papers?
Hatuna vipaji vya ingenutiy sisi. Nani anabisha?
watoto wa wakubwa>>>mawaziri, PS, matajiriWengi wali-DISCO mwaka wa kwanza pale UDSM ::: Walionde US sana hivi ni drug dealers ::: Walioenda India walirudishwa:::
Huo mfumo ulikuwa ni wa kipuuzi - Walioitwa wa vipaji maalumu walikuwa mabingwa wa kukariri "past papers"!
wengi wali-disco mwaka wa kwanza pale udsm ::: Walionde us sana hivi ni drug dealers ::: Walioenda india walirudishwa:::
Huo mfumo ulikuwa ni wa kipuuzi - walioitwa wa vipaji maalumu walikuwa mabingwa wa kukariri "past papers"!
Kwamba walikuwa special hasa au la, nadhani ni debatable. Nikweli hakuna mfumo mzuri wa kunarture vipaji hapa Tz. Ninaowafahamu mimi naweza kuthubutu kusema wengi wao wamefanikiwa (kwa standards za kibongo). Wengi ni madaktari, ma engineer etc na hata wengine wamebaki kufudisha kwenye vyuo vikuu. Zaidi ya asilimia 75 ya wanafaunzi waliokuwa wakimaliza kidato cha sita katika shule hizo walikuwa wanapata nafasi ya kwenda chuo kikuu.
. Ma engineer gani wanashindwa kuvumbua mashine za kutengenezea/kuzalisha umeme....kila mwaka kuna mgao.....Miafrika bana
Wengi wali-DISCO mwaka wa kwanza pale UDSM ::: Walionde US sana hivi ni drug dealers ::: Walioenda India walirudishwa:::
Huo mfumo ulikuwa ni wa kipuuzi - Walioitwa wa vipaji maalumu walikuwa mabingwa wa kukariri "past papers"!
NN,
Tatizo siyo Maengineer. Tatizo ni absence of research funding. Kama serikali yetu ingeweka kipaumbele kwenye swala la utafiti kivitendo, nina uhakika maengineer wetu wangekuja na solution nzuri tu za matatizo yetu.
Nchi za ulaya mwanafunzi mmoja anatengewa zaidi ya usd 20,000 kwa utafiti. Marekani ni zaidi ya hapo. Sisi, mmmh sifuri.
Kwa hiyo tusiwalaumu wataalam wetu na wanafunzi wetu wenye vipaji maalum.
Ma engineer wa kwenye makaratasi tu hao. Ma engineer gani wanashindwa kuvumbua mashine za kutengenezea/kuzalisha umeme....kila mwaka kuna mgao.....Miafrika bana