Wanafunzi wenye vipaji maalum!!!

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,039
2,199
Natamani kuwaona,natamani kusikia wako wapi.hivi wameonyesha kwamba wao ni 'special' kwa kuleta maendeleo nchini?au walipewa misifa isiyostahili.wale wa mzumbe,Ilboru,Tabora boys,Kibaha,msalato,Kilakala wamepotelea wapi?naongelea wale wanafunzi wa miaka ya 90's mpaka early 2000's kabla mfumo wa elimu haujachakachuliwa.
 
Tanzania!its unfortunate we don't have such system where we recognize people with talents,the only heroes we know or we have are rich people and the so called wasanii wa kizazi kipya.poor Tanzania!with our system today everyone is intellectual, everyone is a leader and everyone is a lawyer.i was told in US most people are ignorant but the nation has benefited from few well prepared Elites.
 
Tupo hatuna mbele wala nyuma!baada ya form6 hakuna aliyefanya evaluation kama lengo la special schools lilifanikiwa au?tatizo tz hakuna mfumo wa kueleweka wa elimu
 
Tupo hatuna mbele wala nyuma!baada ya form6 hakuna aliyefanya evaluation kama lengo la special schools lilifanikiwa au?tatizo tz hakuna mfumo wa kueleweka wa elimu

probably you were suppose to show your impact by serving the society of Tanzania.
 
Tupo mkuu, mie nilikuwa Ilboru kweli hatuna mbele wala nyuma, isitoshe tulikuwa tunatafuniwa kila kitu, nilipofika chuo (udsm) nilitamani tujengewe chuo chetu, pale FOE (FACULTY OF ENGINEERING) shule ilikuwa ngumu mno, wengi tulikula disco wakatupotezea, najuta kusoma special skul, tupo tupo tu .....
 
tupo kamanda, tunaclear semesters zetu, si unajua viporo vya b.tech.....then tuingie mtaani
 
kwa kwel mim ni kat yao, nilimaliza tabora school 97_nime graduate 2002, na nimekuwa najitahid kuleta mabadiliko always. Nimewahi kuandikiwa barua ya pongez na boss wangu kwa utendaji wangu_tatizo in public service there is no enough room to show how much u can_cauz the room is reserved for the use of politicians_ndo mana hata vipanga wote kama akina prof wa mifupa wameishia kwenye siasa tu_kaz sana hapa tz
 
kumbe mpo,najaribu kuwakumbusha kuwa tunahitajikuuona ule uspecialwenu sasa!mazingira ni magumu ila hiyo sio sababu ya nyinyi kushindwa kufurukuta,mmejaribu mkashindwa?tunataka kuona makeke yenu sasa,ukwelinilikua nawakubali sana ukiondoa wachache ambaoni Fake.
 
Vipaji gani? Vya kukremu past papers?

Hatuna vipaji vya ingenutiy sisi. Nani anabisha?
 
Wengi wali-DISCO mwaka wa kwanza pale UDSM ::: Walionde US sana hivi ni drug dealers ::: Walioenda India walirudishwa:::

Huo mfumo ulikuwa ni wa kipuuzi - Walioitwa wa vipaji maalumu walikuwa mabingwa wa kukariri "past papers"!
 
watoto wa wakubwa>>>mawaziri, PS, matajiri
 
Kwamba walikuwa special hasa au la, nadhani ni debatable. Nikweli hakuna mfumo mzuri wa kunarture vipaji hapa Tz. Ninaowafahamu mimi naweza kuthubutu kusema wengi wao wamefanikiwa (kwa standards za kibongo). Wengi ni madaktari, ma engineer etc na hata wengine wamebaki kufudisha kwenye vyuo vikuu. Zaidi ya asilimia 75 ya wanafaunzi waliokuwa wakimaliza kidato cha sita katika shule hizo walikuwa wanapata nafasi ya kwenda chuo kikuu.
 
wengi wali-disco mwaka wa kwanza pale udsm ::: Walionde us sana hivi ni drug dealers ::: Walioenda india walirudishwa:::

Huo mfumo ulikuwa ni wa kipuuzi - walioitwa wa vipaji maalumu walikuwa mabingwa wa kukariri "past papers"!

baba enock taratiiibu,
.
Mi nilikuwa miongoni mwao na wala ckuwa nakariri,frends zangu kibao pia walikua moto. Nakubali kulikua na vimeo vichache vilikuwa vinaingizwa kwa njia za panya. Ila majority ni vichwa haswaaa.
 
Wapo na walikuwepo vijan wenye uwezo. of course, walikuwepo pia wa kukariri.
Tatizo ni kwamba wale wenye uwezo ....wameishia kuwa walimu wa vyuo... basi.
 
Kwamba walikuwa special hasa au la, nadhani ni debatable. Nikweli hakuna mfumo mzuri wa kunarture vipaji hapa Tz. Ninaowafahamu mimi naweza kuthubutu kusema wengi wao wamefanikiwa (kwa standards za kibongo). Wengi ni madaktari, ma engineer etc na hata wengine wamebaki kufudisha kwenye vyuo vikuu. Zaidi ya asilimia 75 ya wanafaunzi waliokuwa wakimaliza kidato cha sita katika shule hizo walikuwa wanapata nafasi ya kwenda chuo kikuu.

Ma engineer wa kwenye makaratasi tu hao. Ma engineer gani wanashindwa kuvumbua mashine za kutengenezea/kuzalisha umeme....kila mwaka kuna mgao.....Miafrika bana
 
. Ma engineer gani wanashindwa kuvumbua mashine za kutengenezea/kuzalisha umeme....kila mwaka kuna mgao.....Miafrika bana

NN,
Tatizo siyo Maengineer. Tatizo ni absence of research funding. Kama serikali yetu ingeweka kipaumbele kwenye swala la utafiti kivitendo, nina uhakika maengineer wetu wangekuja na solution nzuri tu za matatizo yetu.
Nchi za ulaya mwanafunzi mmoja anatengewa zaidi ya usd 20,000 kwa utafiti. Marekani ni zaidi ya hapo. Sisi, mmmh sifuri.
Kwa hiyo tusiwalaumu wataalam wetu na wanafunzi wetu wenye vipaji maalum.
 
Wengi wali-DISCO mwaka wa kwanza pale UDSM ::: Walionde US sana hivi ni drug dealers ::: Walioenda India walirudishwa:::

Huo mfumo ulikuwa ni wa kipuuzi - Walioitwa wa vipaji maalumu walikuwa mabingwa wa kukariri "past papers"!

Kuna wengine wamekula PhD zao Ulaya na wanapiga mzigo kwenye makampuni makubwa tu huko huko. Na wao je?
 
NN,
Tatizo siyo Maengineer. Tatizo ni absence of research funding. Kama serikali yetu ingeweka kipaumbele kwenye swala la utafiti kivitendo, nina uhakika maengineer wetu wangekuja na solution nzuri tu za matatizo yetu.
Nchi za ulaya mwanafunzi mmoja anatengewa zaidi ya usd 20,000 kwa utafiti. Marekani ni zaidi ya hapo. Sisi, mmmh sifuri.
Kwa hiyo tusiwalaumu wataalam wetu na wanafunzi wetu wenye vipaji maalum.

Hivi wale wavumbuzi wa ndege walitengewa kiasi gani na serikali ya Marekani?
 
Ma engineer wa kwenye makaratasi tu hao. Ma engineer gani wanashindwa kuvumbua mashine za kutengenezea/kuzalisha umeme....kila mwaka kuna mgao.....Miafrika bana

ndo maana nkajiuliza siku zoote serikali inahangaika kwenye mambo kama ya umeme,walimu wa hisabati na sayansi.hivi hawa jamaa wameshindwa kutoa ufumbuzi?wake up guys!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom