wanafunzi wengine ni vipaji maalum basi tu.

wanafunzi wengine ni vipaji maalum basi tu.

Kizotaka

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
561
Reaction score
107
Mwalimu anauliza swali darasani; Mwl; ukiambiwa uchague kati ya fedha na akili unachagua kipi? Mwnfnz; fedha! Mwl; nilijua utajibu hivyo, wewe ni mjinga. Ingekuwa mimi ningechagua akili. Mwnfnz; Lakini mwalimu mtu si anachagua kitu ambacho hana.
 
Yalaaaaa unalo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
So kwa lugha nyepesi nae mwl alichagua kitu ambacho hana!! teh teh
 
Dogo kama Madenge vile
 
Back
Top Bottom