Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,086
Hivi nimekaa nimejiuliza,
Hawa watoto wanaosoma shule za wenye hela/Kulipia. Kila siku wanapewa home work na hata ukiwauliza wengi wanategemea msaada wa wazazi katika kufanya hizo home work.
Sasa nataka kufahamu hizo Ada wazazi wanazolipa na wao mnawalipa mshahara? Maana ndiyo wanafanya kazi kubwa pia huku nyumbani