Wanafunzi wengi wagundulika kujaza taarifa za uongo kwenye maombi ya mikopo

kwani hizo taarifa za uongo wamezibaini vp? suala bhas afatilie vyeti vya vifo maana si vinapigwa mihur na wanasheria pia vinatengenezwa na mahakam....then wajue tatizo liko wap..sio wafkirie tu wao bila kufaham kuwa ni kweli kuna taarifa za uongo.
 
kilasiku Ni kuchukuliana hatua!! Woiii vitisho vinachosha asee hii nchi bhana
 
Kupata Shahada inarudi Kama Enzi za Mwalimu kuwa ni kitu adimu na wachache sana ndio watabahatika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…