Wanafunzi wengi wagundulika kujaza taarifa za uongo kwenye maombi ya mikopo

kwani hizo taarifa za uongo wamezibaini vp? suala bhas afatilie vyeti vya vifo maana si vinapigwa mihur na wanasheria pia vinatengenezwa na mahakam....then wajue tatizo liko wap..sio wafkirie tu wao bila kufaham kuwa ni kweli kuna taarifa za uongo.
 
Kupata Shahada inarudi Kama Enzi za Mwalimu kuwa ni kitu adimu na wachache sana ndio watabahatika
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom