Wanafunzi wengi wagundulika kujaza taarifa za uongo kwenye maombi ya mikopo

Mbona kila ikifika muda wa kuwapa wanafunzi fedha za kujikimu ndo wanakurupuka
 
Naomba mnieleweshe wakati mwanangu anasoma o'Level nilikuwa na kaz,na nilikuwa namsomesha private,Advance akasoma ya privet kwakuwa sikuwa na pesa now yuko udsm hajapata mkopo na mm sina ajira je wanfu ni mtoto wa fukara au wa mwenye uwezo?
 
MSD ongeza order ya dawa za presha, usingizi na vidonda vya tumbo kwenye manunuzi yenu maana hawa vijana hawawezi kuhimili misukosuko hii.
Tunategemea idadi ya wagonjwa wa magonjwa hayo kuongezeka!
 
Nchi hii ina loop holes nyingi kwenye taratibu na sheria zake. Usimfunge mtu kwa upungufu katika mfumo wako wewe
 
Naomba mnieleweshe wakati mwanangu anasoma o'Level nilikuwa na kaz,na nilikuwa namsomesha private,Advance akasoma ya privet kwakuwa sikuwa na pesa now yuko udsm hajapata mkopo na mm sina ajira je wanfu ni mtoto wa fukara au wa mwenye uwezo?
Mimi ni mwanafunzi WA chuo na unayosema yamenikuta kwasababu nili Soma private secondary lakn wakati nimemaliza wazazi wangu wote wawili walikuwa wastaafu. Nilichaguliwa course yenye kipaumbele wakat huo yaan engineering lakini nilipewa hela ya kujikimu tu na sina ada hadi sasa
 
kwa nini udanganye?halafu tunalalamika watu wamekosa mikopo,kumbe hela wamekopa wasiostahili
Kama una baba na mama wanafanya kazi hustahili kukopeshwa

Kwa mshahara upi?
Hivi unaelewa Kima cha chini ni shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom