Wanafunzi waua Chuo kikuu Mzumbe

msimamo wako una mwelekeo wa kuridhia kuuwawa vibaka
Ahsante kwa kunitangulia mawazo, ila ninachomaanisha ni kwamba wezi (majambazi, vibaka, waporaji, n.k) wanastahili adhabu itakayowafanya waache hizo tabia. Ila suala la kujichukulia sheria mkonononi siliungi mkono maana wapo ambao wameuawa bila hatia. Na pia bado nasisitiza kwamba nikimkuta mwizi anapigwa na wananchi sitapoteza muda na nguvu zangu kumtetea na sitampiga. Usije ukawa kwenye lile kundi la wale wanaojifanya wanahuruma na kuuwawa kwa albino halafu wakati huo huo unapinga uwepo wa adhabu ya kifo. Heri iendelee kuwepo na iwe option kuitekeleza kama ilivyo sasa
 
uhurumoja;
Ni Wanafunzi waua Chuo kikuu Mzumbe au ni Wanafunzi Chuo kikuu Mzumbe waua ?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…