Sword
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 864
- 183
Hamjaibiwa ninyi!! Maumivu yake ni makali sana. Usiku raia anasaka nini mabwenini?
Nilifikiri waandishi wa siku nyingi hua wanamtazamo mzuri kumbe SIFURI kabisa
Hamjaibiwa ninyi!! Maumivu yake ni makali sana. Usiku raia anasaka nini mabwenini?
Ahsante kwa kunitangulia mawazo, ila ninachomaanisha ni kwamba wezi (majambazi, vibaka, waporaji, n.k) wanastahili adhabu itakayowafanya waache hizo tabia. Ila suala la kujichukulia sheria mkonononi siliungi mkono maana wapo ambao wameuawa bila hatia. Na pia bado nasisitiza kwamba nikimkuta mwizi anapigwa na wananchi sitapoteza muda na nguvu zangu kumtetea na sitampiga. Usije ukawa kwenye lile kundi la wale wanaojifanya wanahuruma na kuuwawa kwa albino halafu wakati huo huo unapinga uwepo wa adhabu ya kifo. Heri iendelee kuwepo na iwe option kuitekeleza kama ilivyo sasamsimamo wako una mwelekeo wa kuridhia kuuwawa vibaka
uhurumoja;Wanafunzi chuo kikuu Mzumbe Morogoro wamemuua mwanakijiji cha Changarawe kijana anaekadiriwa kuwa na miaka 24 kwa tuhuma za wizi, kijana huyo ameuliwa jana majira ya usiku na wanafunzi katika maeneo ya bweni la kimweri na kibasila.
Hii ni mara ya pili ndani ya miezi isiyozidi mitatu kwa wanafunzi hao kuua raia ambao walishukiwa kujihusha na vitendo vya wizi wa mali za wanafunzi.
Ikumbukwe kuwa wanafunzi wa Mzumbe baadhi tuko chuoni sasa katika semester yumbishi kutokana na chuo kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi.