Wanafunzi wasomea kwenye vibanda vya nyasi Dodoma

Wanafunzi wasomea kwenye vibanda vya nyasi Dodoma

Waache uvivu na uzembe,jamii nyingi Tanzania tumejenga shule wananchi wenyewe na serikali inasaidia kidogo baada ya sisi kujitolea.Sasa hao wazazi kazi yao ni kuzaa tu eti wanashindwa kujenga vyumba vya madarasa wawekwe mahabusu wazazi wa hicho kijiji kwa kutowajibika!!


Ni bora unyamaze sidhani kama wajua waongea nini
 
Kuna hatari ya walimu wa shule husika kuchukuliwa hatua kwanini hawakuwaziba macho waandishi wa habari
 
Back
Top Bottom